Hivi vitoto sijui vililishwa nini maana ni vina stamina sio ya kitoto, unaweza kukipelekea moto kwa speed ya 5g ila ndo kwanza kinasema uongeze speed.
Unachapa hadi bao 5 ila kinataka kuendelea, wakuu hapa nimekifungia ndani ila nahisi mimi ndie nimefungiwa ndani.
Hivi vibinti ni gani aisee?
My ribs π€£π€£π€£π€£
Huyu she, he or she-he?
ππΏππΏππΏππΏππΏHuyu she, he or she-he?
Mbona wakimbia honey? Nimekufukuza!? πππΏππΏππΏππΏππΏ
Sijui kwanini nacheka ila nacheka.Hao wasumbufu balaa,
Yanazungumzika nyumbani my πbeatπMbona wakimbia honey? Nimekufukuza!? π