Hivi vikundi ni hatari sana kwa afya

Hahaa, basi tuu ni kinyaa, ila kinyesi hakigusi kabisa hicho kitu, utumbo ndio unapita hapo kati, ukiuvuta unatoka na uchafu wake, hilo ni housing tuu la utumbo.

Ila hii mada kiboko,
 
Tanzania hivyo ni vitafunwa vya kushushia bia, soda na juisi, ila wanywa gongo hawavipendi bila ndimu kwa wingi. Maeneo yote Tanzania hivyo, miguu na vichwa vinalika na ngozi za ng'ombe zinatengenezwa supu. Kisa cha kuishutumu marekani ni nini! Utakuwa umehisisha na upinde wa mvua wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…