Pre GE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Eti Vyama 13 vya Upinzani 😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣

ONLY IN BANANA REPUBLIC OF TANZANIA
 
TOFAUTISHA KUFANYIKA na KUFANIKIWA
Maandamano yamefanyika ila kusema kama yamefanikiwa kwa sasa SIYO SAWA
 
Wapinzani wanajulikana, achana na hivyo vyama vya mchongo
 
Sijui vinateseka vikiwa wapi muda huu na yule kiongozi wa dini marasuser

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio hao wamejazana na wanaccm wenzao huku mitandaoni wakipotosha kuhusu maandamano Yale. Ukiona uchambuzi negative kuhusu maandamano Yale huku mitandaoni, jua ni wao na wanaccm wengine waliokwazika na maandamano yale.
 
Hao ni puppets wa CCM, sasa Mungu amewaonesha rangi zao ili muwatambuwe.

Aibu yao.
Ilifaa tupate picha na majina yao wote kisha ianzishwe thread hapa JF kuwaelezea kuwa wao ndio wasaliti wa wananchi ili popote wapitapo watambuliwe, familia na ndugu zao wajue mtu wao ni wa aina gani na wenyewe wapate fursa ya kujitafakari.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja.
 
Ndio hao wamejazana na wanaccm wenzao huku mitandaoni wakipotosha kuhusu maandamano Yale. Ukiona uchambuzi negative kuhusu maandamano Yale huku mitandaoni, jua ni wao na wanaccm wengine waliokwazika na maandamano yale.
Wanasema eti maandamano yalidoda!😀
 
Wanasema eti maandamano yalidoda!😀

Hayo ndio yalikuwa matamanio Yao, Sasa wanajaribu kuponda wakidhani watatuvunja moyo. Yale maandamano yamewaumiza sana maana hawakutegemea kutokana na political heat ilivyo chini.
 
Hayo ndio yalikuwa matamanio Yao, Sasa wanajaribu kuponda wakidhani watatuvunja moyo. Yale maandamano yamewaumiza sana maana hawakutegemea kutokana na political heat ilivyo chini.
Hebu fikiria, pamoja na kupiga mkwara RC wa Dar, kuwa siku hiyo atawaleta wanajeshi wa JWTZ 8,000 na askari 5,000 kutoka Jeshi la Polisi, ili wasafishe Jiji siku hiyo hiyo, lakini maelfu ya wananchi wakajitokeza kwenye maandamano hayo!

Hayo ni mafanikio makubwa sana, ambayo yanawaumiza sana CCM na vibaraka wao!😁
 
Siyo vyama ni mkusanyiko wa mahanithi 13 ( in Maalim Seif voice)
 
Mkuu kanuni ya mnafiki siku zote hanaga Aibu
 
Yeye anesema hajalelewa kupingana na serikali.

Wapuuzi ni wale watakaondelea kupeleka sadaka zao ili Malasuser aendelee kuvimba mashavu wakati waumini wanazidi kukonda tu.
Labda watakao kwenda kwake ni ccm wenzake
 
Chama kama ACT ambacho nacho kinataka kuaminika upande wa bara …nimeshangaaa kutosema chochote …au nao walikuwa sehemu Yao Hao 13? Bora mzee Hashim Rungwe Sipunda …Huwa Ana msimamo Yule mzee

..angalau Act wamemsimamisha Mwenyekiti wao wa mkoa wa Dodoma ambaye aliaandaa press conference na kupinga maandamano ya Cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…