Pre GE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuwekee hapa vyeti vyao ili kuthibitisha hilo, pili katiba, umeme, maisha bora yanamhusu kila mwananchi,ksma umefika f5 na haujui hilo wazazi wako wana hasala kubwa.
 
Nilikuwa nasubiri kwa hamu kuona kama jeshi la wananchi wa Tanzania wangekubali kufuata maagizo ya mkuu wa mkoa wa Dar-s-salam
Ni wakati muafaka kwa jeshi hilo kuwaasa wana siasa kutolihusisha jeshi na mambo yao
 
Tuwekee hapa vyeti vyao ili kuthibitisha hilo, pili katiba, umeme, maisha bora yanamhusu kila mwananchi,ksma umefika f5 na haujui hilo wazazi wako wana hasala kubwa.
Sijui ila ninchojua nimekudi shule mkuu
 
Hakuna vyama pale kaka Hv unadhani watanzania wanamjua nani kwenye kundi la wale wahuni wanaojiita vyama vya upinzani,ule ni mkusanyiko wa wenye njaa tena wasio na Huruma kwa watanzania.Tena huwa wanakusanywa kwenye chumba tu kujadili ujinga wao.
 
Hakuna vyama vya upinzani pale!

Ila ni mkusanyiko wa waganga njaaa!😂
 
Tizama kufanikiwa maandamano no pale yale yaliyotolewa kama sababu ya kuandamana yatakapotekelezwa
 
Hakuna vyama pale kaka Hv unadhani watanzania wanamjua nani kwenye kundi la wale wahuni wanaojiita vyama vya upinzani,ule ni mkusanyiko wa wenye njaa tena wasio na Huruma kwa watanzania.Tena huwa wanakusanywa kwenye chumba tu kujadili ujinga wao.
Vyama vinaonekana kupinga maslahi ya Wananchi havijawahi fanya hata mkutano mmoja kwenye vyama vyao.
 
Malasuser ni wakati wa kurudi Kwa bwana umeacha kondoo na kujiunga na mrengo unaenda kinyume na matakwa ya wananchi Sasa wamejeuka unabaki mwenyewe mrudie kristo ndio tegemeo lako
 
Mungu ataendeelea kumwaibisha hadi atakapoamua kumrudia Bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…