Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Ndiyo maana Elon Musk alikataa kuwasaidia Ukreni kubaini shabaha za mahasimu wao Warusi. Kadiri teknolojia inavyozidi kukua ndivyo faragha ya mwanadamu inavyopungua zaidi.Sawa sawa mkuu.
Kama ni hivi basi tuko uchi zaidi ya hata nilivyokua nafikilia... Anyway hata hivyo hatuna maajabu.
Rejea mifumo ya usalama inayohakili (scan) kwenye maeneo nyeti kama mahoteli mashuhuri, bandarini, viwanja vya ndege, nk., ambavyo kimsingi huona hadi kongosho na bandama zilivyo mwilini.