Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hiyo kitu imeonekana mbali sana, ni nje kabisa ya hizi ndege zetu zinakopita.Hivi iko kitendo cha Kupitisha mifumo yake kwenye anga la watu ni sawa kweli...
Huyo Elon anabaraka zote za kufanya hivyo nchini kwetu? naona sio vizuri kwa usalama na harakati zetu kama nchi.
Mi nadhani afuate sheria za nchi, hakukubaliwa kutoa huduma yake nchini si kwa bahati mbaya... Inakua haina maana hana huduma anayotoa lakini vifaa vyake vinaendelea ku-operate.