Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hiyo kitu imeonekana mbali sana, ni nje kabisa ya hizi ndege zetu zinakopita.Hivi iko kitendo cha Kupitisha mifumo yake kwenye anga la watu ni sawa kweli...
Huyo Elon anabaraka zote za kufanya hivyo nchini kwetu? naona sio vizuri kwa usalama na harakati zetu kama nchi.
Mi nadhani afuate sheria za nchi, hakukubaliwa kutoa huduma yake nchini si kwa bahati mbaya... Inakua haina maana hana huduma anayotoa lakini vifaa vyake vinaendelea ku-operate.
na hata IMANI /DINI zipo vivyo hivyo, watu wanaoamini jambo moja huona wengine kama wanaota kwa kuwa hawajaweza ona au kuamimini kile mwingine anaona.Upo ndotoni
Aisee kumbe zipo nyingi kiasi hiki (maelfu) na wanampango wa kurusha nyingi zaidi na zinaruka karibu sana na dunia, ndio sababu zinaonekana kwa urahisi zaidi.
Nje ya U...??Ahsante ambao tupo nje ya nchi hatujaona
Zinakataa kupandisha humu ngoja ni screenshotAmbatanisha hizo picha kama utaweza tuzione.
Elon Musk huyo!Ni setelait za Starlink hizo kuwa na amani nimeziona pia hapa Tanga