Hivi viongozi wa dini wanavaa kweli ndani?

Hivi viongozi wa dini wanavaa kweli ndani?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Hapa kiongozi huyu wa dini yupo ndani ya nyumba ya ibada anasali. Ila, kwenye dakika ya 17:40-17:43 inaonekana kama ndani hakuna kitu. Hivi huwa awavai ndani?

 
Huko unaenda ukiwa swafi bila kitu ya mzungu ndani na hii ndio kwanini bado kuna ubaguzi mule ndani ya Lupaso Stadium.
 
Yaani dakika 17 na sekunde 40 zote hizo namuangalia tu Kiongozi wa dini kama amevaa kitu ndani, au la! Halafu inisaidie nini?
 
Back
Top Bottom