Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 May 2, 2022 #1 Hapa kiongozi huyu wa dini yupo ndani ya nyumba ya ibada anasali. Ila, kwenye dakika ya 17:40-17:43 inaonekana kama ndani hakuna kitu. Hivi huwa awavai ndani?
Hapa kiongozi huyu wa dini yupo ndani ya nyumba ya ibada anasali. Ila, kwenye dakika ya 17:40-17:43 inaonekana kama ndani hakuna kitu. Hivi huwa awavai ndani?
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 May 2, 2022 #2 Unaliamsha, mie sipo
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,448 Reaction score 1,790 May 2, 2022 #3 Uhujumu uchumi, be care!
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 May 2, 2022 #4 Tuwekee bando ndio tuangalie hiyo video ili tutoe muongozo. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee bando ndio tuangalie hiyo video ili tutoe muongozo. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,099 Reaction score 7,466 May 2, 2022 #5 Huko unaenda ukiwa swafi bila kitu ya mzungu ndani na hii ndio kwanini bado kuna ubaguzi mule ndani ya Lupaso Stadium.
Huko unaenda ukiwa swafi bila kitu ya mzungu ndani na hii ndio kwanini bado kuna ubaguzi mule ndani ya Lupaso Stadium.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 2, 2022 #6 Yaani dakika 17 na sekunde 40 zote hizo namuangalia tu Kiongozi wa dini kama amevaa kitu ndani, au la! Halafu inisaidie nini?
Yaani dakika 17 na sekunde 40 zote hizo namuangalia tu Kiongozi wa dini kama amevaa kitu ndani, au la! Halafu inisaidie nini?