Hivi viongozi watawala wakienda nje wanaenda kushangaa magorofa tu maana wananchi tukisafiri tunakuja na wazo

Hivi viongozi watawala wakienda nje wanaenda kushangaa magorofa tu maana wananchi tukisafiri tunakuja na wazo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Mawazo mengi na fursa nyingi zilizopo Tanzania zimeletwa na wananchi wenyewe ambao wamebahatika kutoka nje wakaona na kurudi nazo.

Nilichoshangaa ni kwamba kuna nchi nyingi zilizokuja hapa tanzania zikabeba na kujifunza walicho kiona na kupeleka kwao na leo ndio wanaongoza kwa uzalishaji.

Wachina walikuja kuchukua samaki ziwa victoria na leo ndio wazalishaji wakubwa kwao na ukiwaulixa wanakwambia wametoa hapa.

Kuna zao la mawese nalo lilikuwa hivo sikumbuki nchi gani ila ndio wazalishaji wa mafuta ya mawese.

Viongozi wanajifunza nini wakienda kwao
 
Wengine wameenda Ubeligiji wanatuletea za kuleta. Tafrani tupu.
 
Back
Top Bottom