Hivi Vitambulisho vya Magufuli vina lengo gani?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Sijamuelewa Rais huyu anataka nini hadi kutuletea vitambulisho vyake. Mamlaka zinazohusika zilimpiga chini kwa matakwa yake ya vitambulisho visivyo kisheria. Anataka nini hasa, atutambue au anataka pesa ya kitambulisho?
Eti mwenye mtaji wa chini ya Mln 4 ndo awe nacho, nani anajua kama mimi mtaji wangu upo chinivya Mln 4?
 
 
hii nchi ni kama tuko chini ya ukoloni sasa.

ina maana tuanze kupigania uhuru?
 
Vitabulisho hivi kisheria vilikuwa vitolewe na TRA lakini nahisi ameona kuna urasimu usio wa lazima na wanachelewa akaamua kuingilia..
 
Nyie mnaonaje!naona wengi wenye maduka wameridhika?

Ova
 
Ewe zuzu, ndiyo hapo utatambua umuhimu wa wahasibu.
 
Hii ni kupiga pesa kisha kuweka kwa mifuko yake yy binafsi
 
Hapo atakusanya fedha nyingi sana, jumla vitambulisho ni 670,000 ukizidisha bei ya kila kitambulisho sh 20,000 utapata jumla ya Tsh 13,400,000,000, fedha nyingi sana. Halafu mjasiriamali anayemlenga ni yupi hasa. Maana wafanyabiashara wengi wenye mtaji wa milioni 4 tayari wanalipa kodi TRA na wana leseni za biashara.
 
Vina lengo la kuonyesha mfano kuwa mradi inaweza kukamilika kwa wakati (product/service delivered on time. Kama Rais kaweza, je ni kiashiria mamlaka zinahusika na kutoa vitambulisho zimeshindwa kazi?
Watendaji hawajamuelewa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…