Ifumange
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 902
- 1,071
Hii elfu ishirini ni kwa mwaka au ukishanunua hicho kitambulisho ndo basi?Hapo atakusanya fedha nyingi sana, jumla vitambulisho ni 670,000 ukizidisha bei ya kila kitambulisho sh 20,000 utapata jumla ya Tsh 13,400,000,000, fedha nyingi sana. Halafu mjasiriamali anayemlenga ni yupi hasa. Maana wafanyabiashara wengi wenye mtaji wa milioni 4 tayari wanalipa kodi TRA na wana leseni za biashara.