Hii elfu ishirini ni kwa mwaka au ukishanunua hicho kitambulisho ndo basi?Hapo atakusanya fedha nyingi sana, jumla vitambulisho ni 670,000 ukizidisha bei ya kila kitambulisho sh 20,000 utapata jumla ya Tsh 13,400,000,000, fedha nyingi sana. Halafu mjasiriamali anayemlenga ni yupi hasa. Maana wafanyabiashara wengi wenye mtaji wa milioni 4 tayari wanalipa kodi TRA na wana leseni za biashara.
Nahisi utakua kwa mwaka,kama alivyoongea kuexpireHii elfu ishirini ni kwa mwaka au ukishanunua hicho kitambulisho ndo basi?
Kodi ya kichwa hiyo muulize babu yako enzi ya ukoloni ilikuwepo, mwaka wa kwanza rahisi, mwaka wa pili TRA wakiingia kijijini wote manakimbilia msituniSijamuelewa Rais huyu anataka nini hadi kutuletea vitambulisho vyake. Mamlaka zinazohusika zilimpiga chini kwa matakwa yake ya vitambulisho visivyo kisheria. Anataka nini hasa, atutambue au anataka pesa ya kitambulisho?
Eti mwenye mtaji wa chini ya Mln 4 ndo awe nacho, nani anajua kama mimi mtaji wangu upo chinivya Mln 4?