Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Mikoani watu wanakunja sana hawafunguki kama watu wa DSM...watu wa bara wengi ni wakunjaji...mfano unaweza anzisha duka sehemu wenyeji wakijua sio wa kwao raia hawaji...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Dar pia ni ivyo michongo ni kwa kujuana
 
Upo mkoa gani mkuu?
 
6. Dar es salaam ndio sehemu pekee yenye mashoga wengi na mamende yaani watu wanafirana kama chakula yaan ukipenda vya bure huko utakutana na kifiro unarudi kwenu Nyamikoma ukiwa huna bikra
 
Mkuu mimi namaanisha connection za kupambana..ie. kwenye ujasiriamali, vipo vitu vingi hakijawa exploited ni kuamua tu ujikite kwenye jambo gani na ufanye improvement gani maisha yanasonga kabisa...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu naomba connection ya mishe yoyote isiwe ishu ya upunga na sembe tu yaani yoyote ile kasoro izo mbili tu sio lazima hapa hata tukienda pm sawa
 
Mkuu naomba connection ya mchongo
 
Wakazi wa dar na mikoa mingine yote ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management miaka kadhaa iliyopita, natafuta ajira ukiweza kunisaidia connection au kuniunganisha na mtu unaefikiri anaweza kunisaidia nitashukuru sana nipo tayari kufanya shughuli yoyote halali naombeni msaada wenu.
 
Subiri waje washamba wa Arusha wanavyotoa povu
Kwakweli mijitu ya arushaa unajikuta mijanja..
Alafu utalikuta jitu linasifia arusha lenyewe lipo dar.
Likienda kwao halikai hata wiki, hiloo lipo dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeishi arusha,hakuna jipya.
 
Ni mtazamo ili mimi jiji nimezaliwa na nmekulia 0-23 , lakn naon ukishakomaa kiakil ndan ys jijj bas wew ukiend mkoa kimaisha unateleza simple sanaa

Jiji pesa inapatkn na kuish unabakia kuw muuza sura sometimes it need real commitment
 
Nakazia
 
Dar ndo ina wasomi wengi Tanzania
 
Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Njoo mkoani uishi ndo utaelewa, Mimi nimekulia Dar Ila KAZI mkoani naelewa anachoongea mtoa posti.. Dar ndo Tanzania yenyewe
 
Dar ipi hiyo!? Au hii hilompa ndugu yangu UKIMWI tukajua kalogwa maana alikuwa anajifanya yupo juu kumbe hakuna kitu!! waganga wametulia hela weeee
 
Halafu Choka mbaya wanaoishi Dsm ndio wamejaa kupiga soga humu. Hapohapo Dsm watu wa Arusha na Wahindi ndio wameinvest zaidi

Sasa unajisifia kuzaliwa Dsm wakati huna chochote wala hujafanya chochote maishani, ni Upunguani[emoji23]

 
Dar ipi hiyo!? Au hii hilompa ndugu yangu UKIMWI tukajua kalogwa maana alikuwa anajifanya yupo juu kumbe hakuna kitu!! waganga wametulia hela weeee
Kwani ukimwi unapatikana Dar tu? Twakimu zinaonesha mikoa ile yenye baridi kuwa kinara kwenye HIV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…