Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Nikikumbuka kunguni wa Dar na kula utumbo wa kukujaman niacheni niishi Mikoani, kunguni wapo Kila mahala kama sisimizi
 
Ni kweli nilipata demu Arusha nilikuwa namtoa pesa akawa anashangaa pesa yenyewe ndogo tu, akawa anasema vijana wa kwao Arusha kukupa 5000/= Ni ngumu wana roho ngumu kwenye kutoa akasema Dar unaweza kumuomba mtu pesa akakupa tofauti na kwa Arusha unaweza kuuwawa kwa ajili ya 5000 tu uliyokopeshwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Arusha vijana hawaongiii kabisa
 
Yote yanayoelezwa kuhusu dar ni kweli kabisa na inachagizwa na kwa vile ni makao makuu ya nchi.Na ni sehemu yenye mzunguko wa pesa na sehemu tajiri ila utajiri sio kwa wakazi wake.
Dar kila starehe ipo.
Ila kwa upande wangu niko mkoani sehemu jina kapuni nilikuja huku miaka 27 iliyopita.Mtu hawezi niambia kitu kuhusu huku.Nilikuja nikakuta mafala wamelala usingizi nikachangamkia maeneo kwa sasa mimi ni fogo kiasi chake.
Dar maisha ya mtu mmoja mmoja hasa wa chini ni ya umasikini wa kutupwa mtu anaweza amka asubuhi hajui atakula nini.
Nikitaka kutanua na kula bata ni kiasi cha kupanda pipa tu na kuteremka dar kisha nageuza siku hiyo hiyo au hata kesho yake.
Kingine kinachonikera dar huwezi jua tofauti ya mtu mwenye gari na asiye na gari japo mwenye gari ana nafuu maana mvua ikipiga yupo garini ila foleni za magari zinakera mno unaweza kuto wote wanafika home pamoja.Na joto lake pia linakera.
Mi kwa mawazo yangu wakoloni walikosea kufanya makao makuu ya nchi kuwa dar wangefanya kama Nairobi.
Dar pako juu ila ukiwa nazo ni bora zaidi.Hata mikoani ukiwa nazo ni bora zaidi dar unashuka muda wowote
 
Back
Top Bottom