nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Siyo kweli wewe una lako jambo2016 nilitoka Dar nikaajiriwa Mwanza...dah..nilikaa mwezi mmoja tu nikaondoka na kurudi mjini....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli wewe una lako jambo2016 nilitoka Dar nikaajiriwa Mwanza...dah..nilikaa mwezi mmoja tu nikaondoka na kurudi mjini....
Lete data hapa.Pamoja na hizo sifa ila Dar ndio Jiji linaongoza kuwa na ufirauni,maisha ya hovyo na kuwa na maskini wengi sana hapa Tanzania..
Kwa misingi hiyo hilo Jiji lilinishinda kiukweli na ambavyo watu ni wengi hadi Kero tupu..
Hapana Dar haijafika ten milioni. Iko approximately five milioniKenya wamebalance vizuri.....Coast wana Mombasa ina hadhi nearly Nairobi
Central ndio wana Nairobi kama Nairobi
West wana Kisumu walao inasaidia kupunguza wakazi...
Shida ya Tanzania Dar ni too big yaani jiji linalofatia ni Mwanza ambayo GDP yake Dar imeizunguka mara tatu...what a joke!
Effect yake kila mtu anataka kuja Dar....infrastructure haitatosha kabisa...kuzuia itabidi waweke kipande system,kwamba anaetaka kuhamia Dar akate kipande au passport maalumu..Ukihamia kienyeji hutaweza kupata huduma za kijamii kama shule,etc maana huna kipande.Hii walifanya China miaka ya 80 maana walikua na Jiji moja tu lenye hadhi Shanghai.
Yaani Dar inabeba wakazi nearly 10mil,ni kama 20% ya population yote ya TZ.....na wanaongezeka....jiji la Mwanza linalofatia eti lina 1.2mil,what an imbalance aiseee?
Hili ni bomu halafu wanasiasa hawalioni.....
Yaani ni shida mpaka serikali kuhamia Dodoma bado ni mtihani,effect ni hii...waweke infrastructures watu watahamia...hela ndio hakuna!
MkuuHapana Dar haijafika ten milioni. Iko approximately five milioni
Rizki inatafutwaa popote hata nje ya nchi kwahiyo msikibali kubali dsm tuu hata kama mambo hayajakunyookea.Mzee toa uzoefu wako kwa vijana wapate Darasa naamini utakuwa umetembea na kuishi mikoa tofauti.
Rizki inatafutwaa popote hata nje ya nchi kwahiyo msikibali kubali dsm tuu hata kama mambo hayajakunyookea.Sema kitu mkuu. Uzee ni maktaba tunaweza pata chochote
Nikweli unezunguja nchi na dar ni baba lao kwa sababu asilimia 85 ya uchumi unatoka dar ila kila sehemu ni nzuri kuishi endapo mipango yako ya uchumi itafanikiwa na mtu husifia pale panapompa ugali wa kutosha huwezi kumwambia mtu wa mchimboni kahama eti dar panafaa ndio kila kitu ahamie huko wakati yeye anachimba dhahabu tu sasa dar akachimbe chokaa au mlina asali wa tabora ahamie darndg usitutishe, sisi wengine tumezunguka sana hii nchi. tumefanya sana utalii wa ndani, tumefika mikoa mbalimbali na wilaya zake. binafsi nimeyaona mazuri na mabaya ya sehemu mbalimbali za tz. huna la kunidanganya.
kuna wakati mpaka najihisi mimi ni vasco da gama wa tanzania
pamoja na kuizunguka nchi kote huko, bado hunielezi kitu kuhusu dar es salaam. dar iheshimiwe.
tazama hapa picha za google map uone timeline yangu ya kuizunguka tz.
View attachment 2370969View attachment 2370970View attachment 2370971
Dar itabaki kuwa jiji kuu la kibiashara na sababu ziko nyingi na wala sio jambo baya lakini hii ya watu kukimbilia Dar lilijengwa na siasa miaka ya nyuma ilikuwa hata passport lazima uende Dar mikoani ulikuwa hupati au ni shida watu walinyimwa hizi fursa kusudi na serikali ili wa control kila kitu lakini athari zake zinaonekana leo sasa nini kimefanyika, Mji mkuu umehamia Dodoma kwa hiyo shughuli nyingi zimehamia lakini pia na mifumo ya electronics siku hizi unapata sehemu yoyote na huduma zinasogea kwa watu ndio maana leo tunaambiwa kwa mara ya kwanza airport ya Zanzibar imeipiku Dar kwa kupokea watu na leo hii ndege nyingi zinaenda Kilimanjaro direct kama Qatar, Ethiopia na mashirika mengine leo Dar airport ukishuka kimyaa sio kama miaka ya nyuma, na hili la train na bandari kavu kama Dodoma na Isaka siijui litapeleka huduma sehemu nyingi na kufungua fursa. Hakuna ubishi Dar ni jiji kubwa sababu ziko nyingi sana kila mtu anajuwa kwanini lakini kesho bandari ya Bagamoyo ikikamilika sehemu ya cake itaondoka Dar na watu wanajazana sehemu sababu ya fursa na naona Bagamoyo itakuwa hivyo. Dar imenufaika sana siku za nyuma kisiasa kuwa kila kitu lazima uende Dar hata signature tu utaitafuta Dar ila haya yanabadilika taratibu mwisho wa siku makampuni yanatizama gharama za uendeshaji nafuu kwa Dar ilikuwa imepata bahati hiyo ila haya taratibu yatabadilika na yameanza ila naamini Dar itabaki kuwa lango kuu la kibiashara kuna miaka Zanzibar ilikuwa inakuja juu lakini maamuzi ya kisiasa yalifanywa kuimaliza ili Dar ibaki juu kutambulisha double taxation. Nchi ina watu mil 60 lazima kuwe na sera kupeleka fursa sehemu tofauti ili maendeleo yaende kila sehemu na hili kidogo linafanyika. Ila Dar kuna population kubwa sana ni kama wasindikizaji tu wanaishi maisha duni sana tena sana na wako asilimia ndogo wameshika uchumi. kuhitimisha Dar ni jiji la biashara na litabaki hivyo kitakachotokea tu wale waliokuwa nyuma wataanza kupunguza kidogo kidogo kutoka Dar sababu za sera za serikali kuhama itachukuwa muda ila watu watazoea na hii SGR na bandari kavu kama waliuvyofanya Kenya Naivasha na Mombasa wakaanza kulia ndio yanakuja sababu Bandari kavu kuwa kati ya mji mawakala watakuwa pale ni copy paste ya Mombasa na Naivasha... hitimisho Dar itaendelea kuwa#1 ila wengine fursa zitafunguka....Kenya wamebalance vizuri.....Coast wana Mombasa ina hadhi nearly Nairobi
Central ndio wana Nairobi kama Nairobi
West wana Kisumu walao inasaidia kupunguza wakazi...
Shida ya Tanzania Dar ni too big yaani jiji linalofatia ni Mwanza ambayo GDP yake Dar imeizunguka mara tatu...what a joke!
Effect yake kila mtu anataka kuja Dar....infrastructure haitatosha kabisa...kuzuia itabidi waweke kipande system,kwamba anaetaka kuhamia Dar akate kipande au passport maalumu..Ukihamia kienyeji hutaweza kupata huduma za kijamii kama shule,etc maana huna kipande.Hii walifanya China miaka ya 80 maana walikua na Jiji moja tu lenye hadhi Shanghai.
Yaani Dar inabeba wakazi nearly 10mil,ni kama 20% ya population yote ya TZ.....na wanaongezeka....jiji la Mwanza linalofatia eti lina 1.2mil,what an imbalance aiseee?
Hili ni bomu halafu wanasiasa hawalioni.....
Yaani ni shida mpaka serikali kuhamia Dodoma bado ni mtihani,effect ni hii...waweke infrastructures watu watahamia...hela ndio hakuna!
Mule mule. Nimeishi hapo miaka naneKIA Stand au KIA Airport si bado ni KIA mkuu ama?...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshamba wa AR chuga niko hapa.Hebu njoo nikupeleke kwa Mromboo.Huku sisi hatuuzi nyama kwenye vijiti ni kwa kilo halafu upaki hilo gari lako kizembe hapo Dar tunalileta huku tunalichinja au ndani ya saa moja unaweza kutana na gari yako na usiijue.Subiri waje washamba wa Arusha wanavyotoa povu
Arusha hakuna biashara ya maji baridiharakati gani zitaje...
hakuna biashara yoyote inayofanyika dar na arusha isiwepo...ndo mana nimesema labda harakati zinazohusu bahari
Boban wewe ni member maarufu group hili ila rafiki yangu hiyo namba 3 angalia itakutia umasikini na life span yako itakuwa fupi take careUkiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya kazi vya mikoani nilikuwa nawaona kama ni mental case kumbe mimi ndiye nilikuwa sijui what it means to live in city of Dar es salaam. Now I Know licha ya udogo wa geographical area ya Dar es salaam still ndio Mkoa wenye population kubwa compared to other places in Tanzania.
Once my father told me alikuwa akiishi Ubungo Maziwa miaka 1980, ni miongoni mwa stori zinazoniumiza sana mimi na kunifanya nijiulize maswali mengi na kuhitimisha kuwa at some point kila mtu kwenye maisha yake anafanya mistake kama sio mistakes. It's doesn't make any sense miaka ya 80 unahama Dar es salaam unaenda kuishi Namtumbo ambako mpaka leo kuna mapori je miaka ya 80 it's means jirani zetu walikuwa wanyama pori, baba nakupenda sana ila kwa hili you deserve to be blamed.
Hii ni list ya vitu vilivyonifanya nigome kutoka Dar es salaam.
1. Dar es salaam ndio sehemu pekee inayokupa easy access ya kuchase dreams zako jaribu kufanya utafiti mdogo watu wengi waliofanikiwa kwenye nyanja tofauti nchini Tanzania makazi yao ni wapi(tofautisha kati ya asili na makazi).
2. Ile interaction ya kukutana na watu wa aina tofauti inakufanya uchangamke na uwe extra care maanake unajua ukizubaa umepigwa.
3. Naomba hapa nikazie kama wewe ni Mwanaume mtafutaji basi sehemu sahihi ya kuwepo ni Dar es salaam. Why kusuuza rungu ni moja kati ya basic need ya Mwanaume yoyote bila kujali financial status yake(tajiri & masikini) sasa jijini Kila kata Kuna danguro, bajeti ya kuosha rungu inakuwa chini compared to other places In Tanzania.
4. Zamani nilikuwa naamini jijini chakula ni bei ghali kumbe zilikuwa ni propaganda za watu wa binafsi wasio penda watu wa mikoani tuje Dar. Ni wapi Tanzania hii unapata Ugali na mboga drafts kwa shilling za kitanzania 1000 tu believe me hakuna hata kule panapotoka mazao yenyewe. Wigo mpana wa kuchagua ule nini. kuna mikoa kama sio mlaji wa ugali au wali basi jiandae kulala njaa.
5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.
Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
Toka kidogo kama mwaka hv kaishi mikoani kama Mbeya, Katavi, Mara utajua umuhimu wa Dar na fursa ambazo umezikaliaDar imekuwa overrated kinyama
Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
kuna baadhi ya watu wanaishi tofaoti na dar mashi yao mazuli watoto wao wanasoma shule nzuli maisha safi kupata akuchagui wapi utapatia kama dar ujawekeza chochote bora usiishi kwenye mji huo masikini wanateseka sanaUkiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya kazi vya mikoani nilikuwa nawaona kama ni mental case kumbe mimi ndiye nilikuwa sijui what it means to live in city of Dar es salaam. Now I Know licha ya udogo wa geographical area ya Dar es salaam still ndio Mkoa wenye population kubwa compared to other places in Tanzania.
Once my father told me alikuwa akiishi Ubungo Maziwa miaka 1980, ni miongoni mwa stori zinazoniumiza sana mimi na kunifanya nijiulize maswali mengi na kuhitimisha kuwa at some point kila mtu kwenye maisha yake anafanya mistake kama sio mistakes. It's doesn't make any sense miaka ya 80 unahama Dar es salaam unaenda kuishi Namtumbo ambako mpaka leo kuna mapori je miaka ya 80 it's means jirani zetu walikuwa wanyama pori, baba nakupenda sana ila kwa hili you deserve to be blamed.
Hii ni list ya vitu vilivyonifanya nigome kutoka Dar es salaam.
1. Dar es salaam ndio sehemu pekee inayokupa easy access ya kuchase dreams zako jaribu kufanya utafiti mdogo watu wengi waliofanikiwa kwenye nyanja tofauti nchini Tanzania makazi yao ni wapi(tofautisha kati ya asili na makazi).
2. Ile interaction ya kukutana na watu wa aina tofauti inakufanya uchangamke na uwe extra care maanake unajua ukizubaa umepigwa.
3. Naomba hapa nikazie kama wewe ni Mwanaume mtafutaji basi sehemu sahihi ya kuwepo ni Dar es salaam. Why kusuuza rungu ni moja kati ya basic need ya Mwanaume yoyote bila kujali financial status yake(tajiri & masikini) sasa jijini Kila kata Kuna danguro, bajeti ya kuosha rungu inakuwa chini compared to other places In Tanzania.
4. Zamani nilikuwa naamini jijini chakula ni bei ghali kumbe zilikuwa ni propaganda za watu wa binafsi wasio penda watu wa mikoani tuje Dar. Ni wapi Tanzania hii unapata Ugali na mboga drafts kwa shilling za kitanzania 1000 tu believe me hakuna hata kule panapotoka mazao yenyewe. Wigo mpana wa kuchagua ule nini. kuna mikoa kama sio mlaji wa ugali au wali basi jiandae kulala njaa.
5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.
Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
masiki wa dar anashida nyingi sana ila kwa alie wekeza yuko vizuliGeneva my foot, yani DSM ukisuka mipango yako vizuri milioni 50 hizi hapa unazichungulia issue ni kukutana na watu sahihi kwenye harakati zako. Unajua watu wa DSM wanaweza kukupa hata ramani za kutoka ila huko mikoani watu wanakunja sana...[emoji23][emoji23][emoji23]