Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Huoni uspesho kwa sababu umezaliwa na kukulia Dar, hata waliozaliwa New York-USA the land of opportunity hawaoni uspesho wa kuwa USA.
 
Wanamanisha ukiwa mjasiliamali au ukaamua kujiajiri ni rahisi kutoboa
 
Nipo singida wiki ya pili sasa lakini nahisi nipo gerezani siku ziishe nirudi zangu daslam tu.
 
Tulioishi Dar es salaam tunaelewa Mkuu, Uko sawa!
 
Vijana mmejazana hapa Dar mnafukuriwa mitaro marinda yamewaisha hamna nguvu mmebaki kutuita wanaume wenzenu Mkuu Kiongozi Boss... Manina zenu mbwa nyie msituone tupo mjini tulizaliwa Dar tukaenda mikoani kutafuta pesa tumezipata tumerud Dar kula maisha, tunawala mademu zenu hadi shangaz zenu...
Huna kazi hapa Dar kazi yako kulishwa na mume wa dada yako halafu unajiita unaish dar hauna tofaut na papai... Dar ni mji wa ku spend na kuinjoi maisha
 
Akili yako bado ndogo sana na inafanana na wale wanaosema mm nimezaliwa dar utaniambia nn dar tumekaa hapo.miaka ya kutosha endelea kupoteza muda hapo na kuhisi upo new York kama una issue ya maana kaa lakini kama wewe ni dar oyee tafuta fursa sehemu nyingine

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…