Hivi VITU ni zaidi ya ARV (PICHA)

Mimi ni mmoja wa wale wanaoamini kuwa tendo la ndoa ni natural ana ni sehemu ya maisha kwa
mtu yeyote aliyebarehe bila kujali kama ameolewa au la. Njia pekee ya kuzuia HIV ni kuwa na matumizi sahihi ya
mipira ya kiume na kike.
 
Huko mikoa ya kanda ya ziwa hizo wanachemsha na chumvi baada ya kutumia kisha anamwazima na mwenzie aende akatumie
 
Hizo kweli ni zaidi ya ARVs, ni safi sana kutumiwa
 
Kweli ukimwi utaendelea kuibuka kidedea kila siku.
 
walaaaaj kweli huu ni ubunifu.... Imenichukua muda kubaini
 
kula 'stereo' ndiyo mpango... makaratasi ya kazi gani bana ..
 
Wamasai hawazitumi NG'O! Hata muweke na sukari, imewahi ona mutu kula ndizi na ganda yake?
 
Wapi ROUGH RIDER na SUPER LAST kwenye list Coz zile ni kiboko baada ya matumizi unazifua unaanika kwenye kamba ya nguo tayari kwa matumizi siku ingine.
 
Wapi ROUGH RIDER na SUPER LAST kwenye list Coz zile ni kiboko baada ya matumizi unazifua unaanika kwenye kamba ya nguo tayari kwa matumizi siku ingine.
mmmh hiyo mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…