Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
View attachment 55634

View attachment 55639
View attachment 55642Kwa ubunifu huu UKIMWI utashindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 55634

View attachment 55639
View attachment 55642Huko mikoa ya kanda ya ziwa hizo wanachemsha na chumvi baada ya kutumia kisha anamwazima na mwenzie aende akatumie
Huko mikoa ya kanda ya ziwa hizo wanachemsha na chumvi baada ya kutumia kisha anamwazima na mwenzie aende akatumie
Hii habari niliwahi kuisikia, na jina wanaziita kito*beo - lol.Kweli....??
Zinapendeza, zinavutia!
mmmh hiyo mpya.Wapi ROUGH RIDER na SUPER LAST kwenye list Coz zile ni kiboko baada ya matumizi unazifua unaanika kwenye kamba ya nguo tayari kwa matumizi siku ingine.
Hapo kuna mawili aidha wewe ni mwaminifu au hutumii kabisa. Ha ha h ah ah ah ah.......!walaaaaj kweli huu ni ubunifu.... Imenichukua muda kubaini
Ni kweli. Kama unatumia hizo. No need of ARV.[/Q UOTE]
Tatizo wabongo hawatumii. Ni mara ya kwanza tu na kuanzia hapo kitu kinapigwa live.