GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akili naamini 100% wametuzidi sana tu.Wazungu tumetofautiana nao vitu vingi
Imani
Tamaduni
Desturi
Akili
Mila
N.k
Wodi ya ICU / Mortuary itamhusu sana.Ila vipi mwanao ukifanikiwa kupata mtoto halafu mama mkwe amvalishe utamfanyaje mama mkwe
Ni kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochoteAkili naamini 100% wametuzidi sana tu.
tupo sawa ila matumizi ya akili ndo hutofautinaAkili naamini 100% wametuzidi sana tu.
Ni Karogwa na siyo Kalogwa Mkuu sawa?Ni kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochote
Pumbavu kwani hakuna Wazungu wenye Asili ya Afrika kutokana na kuwa na Wazazi wenye Asili tofauti?Kwani Africa ni kwa wazungu?
Kwani mtoto ni wa mama mkwe?Ila vipi mwanao ukifanikiwa kupata mtoto halafu mama mkwe amvalishe utamfanyaje mama mkwe
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.