Imani na mila hizi ni za Waafrika, Waarab, na Wahindi pamoja na Wayahudi pia.Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Mnavyojikuta wazungu..kumbe waafrika mablak pure nywele kipiripiri..wakati utotoni mlifungwa hizo na chale mnazo mwili mzima..brainwashed creatures.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile
Sio wote wenye kuamini hizi za mahirizi na kuchanjwa chale.....kutokuamini hayo ni kila mtu na imani zake kuwa watu waliyaignore hayo muda mrefu baada ya kuona hayana maaana, kwa mfano iyo irizi mbona anafungwa mtu Ila akiugua hospital anapelekwa, chanjo zote za clinic anapata, kwanini iyo irizi isiwe kinga kiujumla hata hizi chanjo wanazopewa hospital asiende kupata?Mnavyojikuta wazungu..kumbe waafrika mablak pure nywele kipiripiri..wakati utotoni mlifungwa hizo na chale mnazo mwili mzima..brainwashed creatures.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Namvua namvua namvua namvua namvua.........Ila vipi mwanao ukifanikiwa kupata mtoto halafu mama mkwe amvalishe utamfanyaje mama mkwe
Nimejikuta nacheka kwa nguvuNi kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochote
Habari ya london ndugu yangu?natumai uko ok.Waafrica na akili zao wanazijua wenyewe na wahidi pia Wana hii mitabia ya kijinga kuvalisha watoto mizigo isiyokuwa na maana..
Mbona wewe unavaa rozali na hospitali unaena ukiugua.?Sio wote wenye kuamini hizi za mahirizi na kuchanjwa chale.....kutokuamini hayo ni kila mtu na imani zake kuwa watu waliyaignore hayo muda mrefu baada ya kuona hayana maaana, kwa mfano iyo irizi mbona anafungwa mtu Ila akiugua hospital anapelekwa, chanjo zote za clinic anapata, kwanini iyo irizi isiwe kinga kiujumla hata hizi chanjo wanazopewa hospital asiende kupata?
Ni kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochote
Duh mbona miandishi mikubwa unatufokea bossUSIJUMULISHE WAAFRICA WOTE IKIWA HATA WEWE HUKUVALISHWA: HIZO NI FAMILIA ZA KICHAWI NA/AMA USHIRIKINA. UKIONA MTOTO KAVALISHWA HAYO MADUDE UJUE UKA KATIKA FAMILIA YA WASHIRIKINA AMA WACHAWI. HAKUNA MAELEZO WALA MBADALA WOWOTE. NI UCHAWI NA USHIRIKINA.
Mshirikina sana weweMnavyojikuta wazungu..kumbe waafrika mablak pure nywele kipiripiri..wakati utotoni mlifungwa hizo na chale mnazo mwili mzima..brainwashed creatures.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi babu zako..kama waalikuwa waafrika hauna nafasi ya kunipinga wala kupiga hili.Mshirikina sana wewe
Namkemea shetani na wachawi na washirikina wake. Usiogope kiongozi, uko salama.Duh mbona miandishi mikubwa unatufokea boss
Pumbavu zako wwπ π πUSIJUMULISHE WAAFRICA WOTE IKIWA HATA WEWE HUKUVALISHWA: HIZO NI FAMILIA ZA KICHAWI NA/AMA USHIRIKINA. UKIONA MTOTO KAVALISHWA HAYO MADUDE UJUE UKA KATIKA FAMILIA YA WASHIRIKINA AMA WACHAWI. HAKUNA MAELEZO WALA MBADALA WOWOTE. NI UCHAWI NA USHIRIKINA.
Wazungu hawana muda wa kijinga wa kurogana kipuuzi thus why huwezi kuta kwao hayo mambo ya kufungana vitambaa! Ila kibongo bongo mtu kupiga hatua kimaisha ni nongwa hata kumiliki mtoto wengine hawapendi labda kama unaishi Masaki huko ila kama upo buza mwanao watampiga zongo tu unashangaa mtoto anaharisha bila sababu na kulia ovyo!Waafrica na akili zao wanazijua wenyewe na wahidi pia Wana hii mitabia ya kijinga kuvalisha watoto mizigo isiyokuwa na maana..
Kama unaishi ushuani kama Masaki, Oysterbay au Upanga huna haja ya kumfunga vidude hivyo mtoto! Wachawi hawakanyagi maeneo kama yale π ila kama upo uswahilini jiandae na zongo tu! Waafrika ni washirikina sana tena wanaweza kukulogea mtoto bila sababu ya msingi kabisa. Binafsi mie nimezaliwa Aga Khan na utoto ulinikutia Upanga kwetu wote hatujawahi kuvalishwa hayo mataka taka mpaka tumekuwa watu wazima ila huku uswahilini nilipo sasa kwa ushirikina uliopo siwezi shangaa mtu akimvalisha mwanae hivyo vitambaa.Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.