Hata wanaochomwa sindano ili dawa iingie hakuna tofaouti na anaepigwa chale,ila ndo vile tunathamini ngozi nyeupe kuliko sisi na tunajizarau sana tunataka tufanye kitu chenye kufanana nao hali ya kuwa njia zipo tofauti na matokeo mamoja tu.Hizo ni Imani
Hata wanaowekewa njiti za kuzuia Mimba ni Hirizi za wazungu.
Sema zetu hatuzikubali tu
Wanaovaa Lzari je sio hirizi?
Hakuna shida ndio ufahamu wako umegotea hapo.USIJUMULISHE WAAFRICA WOTE IKIWA HATA WEWE HUKUVALISHWA: HIZO NI FAMILIA ZA KICHAWI NA/AMA USHIRIKINA. UKIONA MTOTO KAVALISHWA HAYO MADUDE UJUE UKA KATIKA FAMILIA YA WASHIRIKINA AMA WACHAWI. HAKUNA MAELEZO WALA MBADALA WOWOTE. NI UCHAWI NA USHIRIKINA.
Kufunga watoto shingoni, viunoni, kichwani, tumboni, vifuani, miguuni, na tena wengine huchanjiwa kwenye ndimi, mahirizi ni kukosa maarifa sahihi.Hakuna shida ndio ufahamu wako umegotea hapo.
Ngoja nikukanushe mkuu,kwanza hizo sio ndumba hizo ni tiba kama tiba nyingine. Suala kuwa zilianzia wapi embu rejea huko kijijini ambako kuna chimbuko lenu tiba za asili hazikuwepo? Labda niulize swali huko kwenye asili yenu unataka kuniambia kuwa tiba za asili hazipo? Watu walikuwa wanatibiwa kwenye hospital hizi za kizungu ama! Kwa iyo usiseme wanaovaa hizo vidudu si kukosa maarifa wale Wana akili timamu kama wewe.Kufunga watoto shingoni, viunoni, kichwani, tumboni, vifuani, miguuni, na tena wengine huchanjiwa kwenye ndimi, mahirizi ni kukosa maarifa sahihi.
Tuanzie hapa:-
1) Nani anayetengeneza hizo ndumba?
2). Maarifa ya kutengeneza hizo juju yalianzia kwa nani na ilikuwaje?
Naomba jibu kwa uvumilivu. Lengo hapa ni kusaidiana.
Jibu swali kiongozi, uwepo ama kutokuwepo, iwe tiba iwe kinga kama unavyoweza kuivalisha suti, haiondoi ushetani wake.Ngoja nikukanushe mkuu,kwanza hizo sio ndumba hizo ni tiba kama tiba nyingine. Suala kuwa zilianzia wapi embu rejea huko kijijini ambako kuna chimbuko lenu tiba za asili hazikuwepo? Labda niulize swali huko kwenye asili yenu unataka kuniambia kuwa tiba za asili hazipo? Watu walikuwa wanatibiwa kwenye hospital hizi za kizungu ama! Kwa iyo usiseme wanaovaa hizo vidudu si kukosa maarifa wale Wana akili timamu kama wewe.
1:unaposema ndumba sijajua unaamanisha nini?!!kama unamaanisha dawa hilo anaweza kutengeneza yoyote mwenye maarifa na hiyo ndumba kutokana na tatizo husika.2;unaposema maarifa ya kutengeneza hizo juju hapa tena unaamanisha uchawi kwa tafsiri yetu ya kiswahili chetu,kama unaamanisha pia hizo dawa maarifa yake yametoka wapi na kwa nani hayo ni maarifa kutoka kwa watu wenye ujuzi,kwa mfano sisi kwetu kuna kitu huwa kinaitwa kimeo na wengi huwa wanakatwa tiba yao,Ila kwengine huwa kuna dawa huwa wanapaka na kinasagika kinakwisha!! Mfano usukumani hawakati.halafu jiulize hivi kati ya hizi tiba za kzungu( hospital ) na tiba za jadi zipi zilizoanza na kipi kinapaswa kiitwe Tiba mbadala.?!!kuna tiba nyingi za asili ambazo hazina ithibati za moja kwa moja lakini zina matokeo ya asilimia 100,halali au sio halali hiyo inategemea umesoma kutoka wapi,kwetu degdege mtoto ananing'inizwa kwenye tundu LA choo kichwa chini miguu juu baada ya hapo inabaki history kwenye degdege,ni mengi Tena mengi .Kufunga watoto shingoni, viunoni, kichwani, tumboni, vifuani, miguuni, na tena wengine huchanjiwa kwenye ndimi, mahirizi ni kukosa maarifa sahihi.
Tuanzie hapa:-
1) Nani anayetengeneza hizo ndumba?
2). Maarifa ya kutengeneza hizo juju yalianzia kwa nani na ilikuwaje?
Naomba jibu kwa uvumilivu. Lengo hapa ni kusaidiana.
Wewe unachanganya imani na tiba ,hilo ni tatizo kwako,tiba haihusiani na imaniJibu swali kiongozi, uwepo ama kutokuwepo, iwe tiba iwe kinga kama unavyoweza kuivalisha suti, haiondoi ushetani wake.
Ninataka tujadiliane siyo kunipa kazi ya kufanay research mimi wakati mimi hadi nasema haya ninayo research ya kutosha kuliko kawaida. Ili tujadiliane jibu swali lla mwongozo wa mjadala. Hujui mijadala ya kitaaluma, hakuna kosa wala sababu ya mihemuko na ushabiki. Kaa kando subiri wanaofahamu na waliotayari kujadiliana kwa uwazi waje wajibu, tuzungumze. Shetani ni shetani hata ukimvalisha kanzu nyeupe.
Ni kweli sio kila malaria inatibiwa na mseto wengine mwarobaini na wanapona.Tusiende mbali sana, yatosha kusema kwamba "kila jamii na tamaduni zao", full stop
Jamani watoto wachanga kawaida kuharisha na kama tumbo pia limejaa ni gesi,na wengine wanakuwa mpaka na COLIC na mtoto anakuwaWazungu hawana muda wa kijinga wa kurogana kipuuzi thus why huwezi kuta kwao hayo mambo ya kufungana vitambaa! Ila kibongo bongo mtu kupiga hatua kimaisha ni nongwa hata kumiliki mtoto wengine hawapendi labda kama unaishi Masaki huko ila kama upo buza mwanao watampiga zongo tu unashangaa mtoto anaharisha bila sababu na kulia ovyo!
Sawa bana ila wengine wanapigwa vijichoJamani watoto wachanga kawaida kuharisha na kama tumbo pia limejaa ni gesi,na wengine wanakuwa mpaka na COLIC na mtoto anakuwa
analia mfululizo au bila sababu.Inasababishwa na vitu tofauti kama digestive system haipo fully developed,hakuna bacteria wakutosha tumboni,allergies n.k
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Una elimu gani? Mbona swali la kitoto!Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Hujui kituNi ushirikina!Halafu kuna ile mtoto anachorwa na wanja kwenye nyusi na paji la uso anaonekana kama kibwengo.Mungu anisamehe!π€
Ni sawa na mengine mengi zaidi ya hayo yapo pia,ndio maana tunawafunga mvuje wasistukestuke usikuJamani watoto wachanga kawaida kuharisha na kama tumbo pia limejaa ni gesi,na wengine wanakuwa mpaka na COLIC na mtoto anakuwa
analia mfululizo au bila sababu.Inasababishwa na vitu tofauti kama digestive system haipo fully developed,hakuna bacteria wakutosha tumboni,allergies n.k
Hongera ww unaejua ππHujui kitu
Ni kwasababu unayaamini.Mungu ndo mlinzi na sio mvuje wala hirizi!Ni sawa na mengine mengi zaidi ya hayo yapo pia,ndio maana tunawafunga mvuje wasistukestuke usiku