Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

Kwako pia hongera kwa kutokujua vitu vingine havitakiwi vijulikane naa wengiπŸ˜€πŸ˜€
Kama unaamini mvuje na hirizi unalinda kuliko Mungu haya kila la kheri mkuu πŸ˜… endelea kujipumbaza!
 
Kama unaamini mvuje na hirizi unalinda kuliko Mungu haya kila la kheri mkuu πŸ˜… endelea kujipumbaza!
Usifananishe mungu na hirizi au hivyo vingine hapa tunajaribu kuwaelewesha tu maana tumepitia mazingira tofauti tofauti ila nashukuru nahisi utakuwa umeelewa.
 
Usifananishe mungu na hirizi au hivyo vingine hapa tunajaribu kuwaelewesha tu maana tumepitia mazingira tofauti tofauti ila nashukuru nahisi utakuwa umeelewa.
Sielewi wala siamini hivo vitu.Mimi naamini ulinzi unatoka kwa mungu na si kokote kwengine.Nimemaliza ahsante
 
Ni kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochote
CCM mtaji wao ndio huo,ujinga wa Watanzania.
CCM ni washirikina wakubwa,na ndio wanaoendeleza hizi imani za kijuha na kishetani.
 
CCM mtaji wao ndio huo,ujinga wa Watanzania.
CCM ni washirikina wakubwa,na ndio wanaoendeleza hizi imani za kijuha na kishetani.
dah CCM tena!! ndo wameleta ivo vidude!?[emoji848][emoji848]... hawa CCM hawa [emoji23]
 
Watu wa mjini ndo watashangaa hili, ila was kijijini tunaona kawaida na ni muhimu sana.
 
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.

Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Uliogopa kabisa kuwa chura maji na wewe kwa mikwala mbuzi 😳
 
Umemaliza kila kitu.
 
Una elimu gani? Mbona swali la kitoto!
Unafahamu nini kuhusu mila na desturi?! Pia tofauti za kijamii.?
Hivi huko mashuleni mlienda somea ujinga!!?
Nina Elimu ya Kukukaza tu vizuri sana.
 
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.

Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Hiyo ni cctv camera
 
Ni kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochote
sema uko gizani usisemee watu wote, huu upumbv wenu wachache ndyo mnaturudisha nyuma
 
sasa kinachokushangaza ni kip hapo?? ama unajifamya mgeni wa mila za kiafrika baada ya kuwa mental slave wa tamaduni za wazungu hiv kati ya yule anaeamini jadi zake za asiri, na wew unaejifanya umestaarabika kwa kukopi mila za wagen nan anaakili?? mnatia aibu alafu ukute nawew umesoma na bado hutambui mchango wa mila za asiri, unaponda tu, amakwel aliyesema nipe mtoto wako nimpe elimu yangu, alafu akikua uje umchukue alkuwa namaana kubwa sana,,sipo hapa kupigia debe kitu chochote lkn waafrk amken mtakuw watumwa wa akili mpka lin?? mambo kama hayo uko china ni kawaida maana wanafuata mila na destur zao na kuziheshimu, sasa wew ##kibindankoi baada ya kupata kidegree chako uchwara chakuunga unga unajifanya umestaarabika wakat hata maendeleo hauna, pumbv kabsa ulyetoa hii post, tena usirudie maana unawatus mpka babu zako maana nao walitumia jadi kujilinda, hizo ni aina za dawa ama kinga za jadi ambazo humkinga mtoto na majanga mengi, ndiomaana watto weng waliokulia maisha ya vijijin huwa na akili nying, kujielewa, miili yenye afya thabit, tofaut na nyie mnaojiona mmestaharabika kumbe wapuuz mmejawa na shida za kila aina, achilia mbal magonjwa ya nguvi za kiume na kansa za kila leo, kwa yule mpumbv aliesema waafrika hawana akili inaonesha anawatukana mpka babu zake waliomleta dunian, pia akamtafute yule dactar wa kitanzania anaetoa tiba ya mifupa bila kugusa elim ya mkolon amfundishe uzalendo, wako waafrika weng wanatenda makubwa ni vile tu siasa za kipuuzi zinawaziba kuonesha uwezo wao, leo hii walikuwepo Africans waliogundua dawa za ukimwi kupitia tiba za jadi lkn serikali ya whitemen ikawapoteza dunian ili kuendeleza agenda zao zakuuwa waafrka, sasa nyie mnaobeza sjui mngezikataa pia tiba za jadi......toweni akili zenu nje ya box muone ukuu wa mwafrika, achen mawazo mgando yakupuuzia na kutukana kila afanyalo muafrika,...nimsikie mpuuz wakupingapinga atakiona chamoto[emoji41][emoji41][emoji41]
 
mpumbv wew sio kila kitu uchawi, mambo mengine ni mila tu, uwe unauliza kabla ujalopoka, hayo mambo yapo hata kwa wasukuma, mtot akizaliwa ufungwa kitu mwikin nasio kwamba uchawi, bali ni iman zao ambazo hata bbu zako walfanya hivyo, kuwa na adabu, heshimu mila za afrika, wachawi ni wale wanaobeba rozali na kuweka misaraba ktk mahekalu na majumba uku wakisema tunajifunika kwa damu ya yesu, hii ni kafara kubwa na yakutisha, unajifunika damu ya mtu??? hata maandiko yao wanayapinga pumbv zenu
 
Umeyagusa mawazo yangu kwa asilimia mia, nawashangaa wanaoita tiba za asili ushirikina kwani wao wamezaliwa ulaya au !hizi tiba zipo sana sema kinachotusumbua ni ivyo vidigrii vyao ambavyo sioni maana yake mana wanashindwa hata kufikiri jambo dogo tu kwa kuita tiba mbadala eti ushirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…