Nilichomjibu na mpaka mda huu hajanitumia tena smsWatu katika kazi.View attachment 1060808View attachment 1060809
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji4] Dawa ni kutafuta pesaa tuuHahahaha mkuu yan hawa viumbe sjui wa sayari gani. Kuna kamoja juz tumechat nacho kikaomba tumeet, nmemeet nae kesho yake tangu siku hyo kawa yatima, mara nataka kwenda saluni, mara vocha kila baada ya masaa mawili, mara pedi sina mara dada ametoka nipo hom mwenyewe siwezi kupika woi leo katoa kubwa kuliko et alikula ada anataka nimuongezee nmecheka naona profile pic whatsapp haipo nahisi kashaniblock
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioMtuombe hela mkiwa na shida kweli, msituombe hela kwa nia ya kutukomoa.. Mzigua90
ha ha ha acha uchoyoNilichomjibu na mpaka mda huu hajanitumia tena smsView attachment 1060814View attachment 1060815
Kwani na wewe uliomba hela ya kula hahahahanamfaham.sana huyu dogo..mxiew..bora nilimpotezeaga utoto sana yaan..kukaa zenji anaona boonge ya deal
Mwanamke husifiwa na sikujisifu mwenyewe, wewe huo umaana wako ni upi? Huendi chooni? Au wewe unakunya dhahabu? Unataka kujifanya matawi ya juu wakati hata ujipake makeup haumfikii mke wangu weka picha yako na mimi niweke ya mke wangu ndo uje na maneno ya kashfa.Mkuu hao ni aina ya wanawake wanao fit kwako.
Wanawake wa maana tupo lakini kwa watu kama nyie tunakuwa oversize.
So usitulaumu kuna madaraja, na huyo mwanamke yupo kwenye daraja ulilopo wewe.
Furahia show
Ulivyo fal. unajua mwanamke kuwa wa maana ni kutokwenda chooni.Mwanamke husifiwa na sikujisifu mwenyewe, wewe huo umaana wako ni upi? Huendi chooni? Au wewe unakunya dhahabu? Unataka kujifanya matawi ya juu wakati hata ujipake makeup haumfikii mke wangu weka picha yako na mimi niweke ya mke wangu ndo uje na maneno ya kashfa.
Pole sn dada bila shaka hiyo conv inakuhusu. Lkn kwanini utangaze njaa kirahisi hivyo!!!!???Utoto umezidi sana jf...pamekua panaboaa
Ok, sasa sema huo umaana wako ni upi kama hautahusiana na hayo hayo... Kujifanya matawi ya juu kisa upo nyuma ya keyboard? Hata mimi naweza kusema namiliki ndege na ukaamini.Ulivyo fal. unajua mwanamke kuwa wa maana ni kutokwenda chooni.
Sina haja ya kukujibu mengine maana mpaka hapo umedhihirisha upumbavu wako.
Huwezi ukawa unamiliki ndege halafu aina ya wanawake unao deal nao wakawa kama huyo.Ok, sasa sema huo umaana wako ni upi kama hautahusiana na hayo hayo... Kujifanya matawi ya juu kisa upo nyuma ya keyboard? Hata mimi naweza kusema namiliki ndege na ukaamini.