Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Watu katika kazi.
IMG_20190402_103339.jpeg
IMG_20190402_103300.jpeg
 
Hahahaha mkuu yan hawa viumbe sjui wa sayari gani. Kuna kamoja juz tumechat nacho kikaomba tumeet, nmemeet nae kesho yake tangu siku hyo kawa yatima, mara nataka kwenda saluni, mara vocha kila baada ya masaa mawili, mara pedi sina mara dada ametoka nipo hom mwenyewe siwezi kupika woi leo katoa kubwa kuliko et alikula ada anataka nimuongezee nmecheka naona profile pic whatsapp haipo nahisi kashaniblock

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji4] Dawa ni kutafuta pesaa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hao ni aina ya wanawake wanao fit kwako.
Wanawake wa maana tupo lakini kwa watu kama nyie tunakuwa oversize.
So usitulaumu kuna madaraja, na huyo mwanamke yupo kwenye daraja ulilopo wewe.

Furahia show
Mwanamke husifiwa na sikujisifu mwenyewe, wewe huo umaana wako ni upi? Huendi chooni? Au wewe unakunya dhahabu? Unataka kujifanya matawi ya juu wakati hata ujipake makeup haumfikii mke wangu weka picha yako na mimi niweke ya mke wangu ndo uje na maneno ya kashfa.
 
Ulivyo fal. unajua mwanamke kuwa wa maana ni kutokwenda chooni.
Sina haja ya kukujibu mengine maana mpaka hapo umedhihirisha upumbavu wako.
 
Ok, sasa sema huo umaana wako ni upi kama hautahusiana na hayo hayo... Kujifanya matawi ya juu kisa upo nyuma ya keyboard? Hata mimi naweza kusema namiliki ndege na ukaamini.
 
Huwezi ukawa unamiliki ndege halafu aina ya wanawake unao deal nao wakawa kama huyo.
Mtu anajulikana kwa aina ya watu anaojihusisha nao.
Ukweli mchungu.
 
Jibu swali langu, wewe ni type gani?
 
Back
Top Bottom