Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
mie sisumbuki ht kukuomba hela maana najua huna...jibu unampotezea kwa kupiga mute
Nikiona wa hovyooo mm mwenyewe unachezea block ila wengine nakutapeli vochaa nasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwa jirani wanasema kumekucha na makucha yake.
Pole sana shem.
Hapa kwa jirani wanasema kumekucha na makucha yake.
[emoji23][emoji23][emoji23] nifundishe kupiga blok kuna mee ananiboa..pls..!.[emoji23][emoji23] ngoja waje wakuanike humu sik 1 maana utoto umetaradadi
Hawajielewi hawa wanaojiita watoto wa mjini, mda mwingine huwa nashangaa sana kitendo cha kusema ngoja nichat na fulani ili siku ziende hapo hapo, kodi inaisha, luku inakatika punde, njaa inakuja ghafla na kuumwa kunaweza kutokea. Usipokuwa makini utaitwa kubwa jinga ukiwa makini unaitwa mtoto. Chaguo ni lako mazee ujuwe kusuka au kunyoa.Hahahahhaahhahahaha
Sasa akili ya wapi hiyo ? Wadada mnakosea sanaaa
Bila hiyo msg au salamu shida zako zisingekuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinipotezea??? Kwa lipi, kuna kitu chochote ambacho nilikuomba/kukushobokea? Unatafuta kiki hapa hupati.
Kiki hawezi kupata kwangu, maana tangia uzi umeanza ni yeye tu imemuuma kana kwamba katajwa yeye. Alie mbali haangukiwi na mti. Ukisikia paah ujuwe imekukosa. Ataelewa tu.Atakua anatafta kiki mkuu ili aonekane nae anatongozwa, hebu mpe kiki hiyo miuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiki hawezi kupata kwangu, maana tangia uzi umeanza ni yeye tu imemuuma kana kwamba katajwa yeye. Alie mbali haangukiwi na mti. Ukisikia paah ujuwe imekukosa. Ataelewa tu.
Sikumla lakini naona ana kitu kinamsumbua uvunguni.Mimi pia namshangaa kweli maana kitika wanawake wote humu yeye ndo kakukomalia, yawezekana ulimla hukumlipa hela yake
Sent using Jamii Forums mobile app
njaa inauma?[emoji16]Ndo maana niliamua kukupotezeaga pm!utoto sana...!km umeona anazengua si ungempotezea tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
njaa inauma?[emoji16]
Chura ipo?[emoji16][emoji16][emoji16]Ndiyo..ninunulie msos bas boss