Uchaguzi 2020 Hivi vyama vingine bado vinazindua kampeni kimyakimya?

Uchaguzi 2020 Hivi vyama vingine bado vinazindua kampeni kimyakimya?

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
6,850
Reaction score
11,033
Nakumbuka wakati wa kutafuta wadhamini chama cha demokrasia na maendeleo kilikuwa kikitafuta wadhamini wake kwa uwazi na mikutano ya hadhara japo hawakupewa air time na vyombo vya habari lakini watu habari waliipata

Baadhi ya vyama vya siasa vilitabanaisha kuwa wao wanafuta wadhamini kimyakimya ili kusudi wasiteleze( Mzee wa niguse ninuke) lakini ni muda sasa tangu NEC wapulize kipyenga cha kuruhusu kampeni ni vyama viwili tu vimeonekana kuzindua kampeni zao CHADEMA na CCM

Hivi vyama vingine havionekani kwenye medani za siasa za Tanzania au ndio kusema ni vyama mamluki vipo kwa ajili ya kutimiza akidi tu.

Nashauri kama vyama hivyo vimeona haviwezi mkiki mkiki wa uchaguzi wa mwaka ka huu basi vimuunge mkono mgombea wa CHADEMA.
 
Chauma wapo kanda ya ziwa. Wamebadili menu badala yawali wameweka ugali sato kwa mujibu wa mgombea mwenyewe kupitia Twitter
Chauma hawa wanaoenda studio na ubwabwa, hayo ni masihara hakuna chama pale.
 
Nguse ninuke hayumo kwenye list ya mamluki. Labda kama unaongelea mabwabwa.

Uliza joto la Pemba usikie kama bashiri au jiwe wanalala usingizi.

Huko wosia tayari haenguliwi mtu!

Nani kama mpemba?

Mpemba habari kubwa!
 
Nguse ninuke hayumo kwenye list ya mamluki. Labda kama unaongelea mabwabwa.

Uliza joto la Pemba usikie kama bashiri au jiwe kama wanalala usingizi.

Huko wosia tayari haenguliwi mtu!

Nani kama mpemba?

Mpemba habari kubwa!
Mzee wa niguse ninuke yupo kimkakati, ni kumzuia Maalim seif kushika dola, kama hilo hamjaliona subirini muda siyo mrefu mtakubali.
 
Mzee wa niguse ninuke yupo kimkakati, ni kumzuia Maalim seif kushika dola, kama hilo hamjaliona subirini muda siyo mrefu mtakubali.

Umewasikia CCM au mataga wakimwongelea tena.

Huyo ndiyo mtalaam wa mikakati.

Wamguse anuke!

Hujasikia? Hakuna uhanithi huko. Unadhani nani wako nyuma ya hilo?

Lile jembe!
 
Hivi vyama vingine ni wazi vipo kwenye uchaguzi kwa sababu maaluum za kuunga juhudi.
 
Kama Jahazi Asilia hata wakiamua kubadili biashara na kufungua Bendi ya Taarabu hawatajaza hata ukumbi mmoja
 
Back
Top Bottom