othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Nakumbuka wakati wa kutafuta wadhamini chama cha demokrasia na maendeleo kilikuwa kikitafuta wadhamini wake kwa uwazi na mikutano ya hadhara japo hawakupewa air time na vyombo vya habari lakini watu habari waliipata
Baadhi ya vyama vya siasa vilitabanaisha kuwa wao wanafuta wadhamini kimyakimya ili kusudi wasiteleze( Mzee wa niguse ninuke) lakini ni muda sasa tangu NEC wapulize kipyenga cha kuruhusu kampeni ni vyama viwili tu vimeonekana kuzindua kampeni zao CHADEMA na CCM
Hivi vyama vingine havionekani kwenye medani za siasa za Tanzania au ndio kusema ni vyama mamluki vipo kwa ajili ya kutimiza akidi tu.
Nashauri kama vyama hivyo vimeona haviwezi mkiki mkiki wa uchaguzi wa mwaka ka huu basi vimuunge mkono mgombea wa CHADEMA.