Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Hiyo ya kujua kama huna akili siyo ndiyo akili yenyewe?Changamoto ni kuwa races nyingine mpo nao kwenye mbio wanaelekea kwa kasi kwenye FINISH LINE.Halafu,Africans wameinama wanafunga kamba za viatu polepole huku wameelekea wanapotoka.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
100%Ben Carson neurologist aliyeishangaza dunia.
Mwafrika ni mtu gani. aliyezaliwa bara la Afrika, ama mtu mweusi. Labda tuanzie hapoHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Mtu yeyote mweusi na mwenye kipilipili huyo ni mwafrika labda atokee Jamaica.Mwafrika ni mtu gani. aliyezaliwa bara la Afrika, ama mtu mweusi. Labda tuanzie hapo
Sio kwamba hatuna akili ya GUNDUZI tuu!!??Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Hili tatizo linaletwa na ulaji wa ugaliHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Hoja yangu imeegemea zaidi upande wa gunduzi.Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Hivi kweli kuna kupaa kwa ungoTunamaugnduzi mengi tunayo sema nn wazungu hawataki kutu appreciate kitendo cha kupaa na ungo bila adhari zozote ni ugunduzi wazungu waksema hyo ni uchawi ili mandenge yao yasikose wateja ila ni njia bora sna ya kusafiri hii iaharamishwe