Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Angalia bara la Afrika lilivyo na rasilimali ila ni masikini. Inatosha kusema " NDIYO " isiyokuwa na mashaka.
 
Ukitaka kujua weusi hatujiwezi kwa lolote wew angalia hadi leo hii simba (1936) na yanga (1935) zimeshindwa kabisa kujitegemea licha ya fanbase walivonazo. toka zianzishwe hadi leo hii wanategemea ela za waburushi na wahindi.
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.

Kwani darasani tunazo? 😛
 
Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi

Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana

Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Tatizo linaanza na wewe jirani kuamini mtoto wako anaweza kudhurika na vitu ambavyo hata nikikupa muda uniletee ushahidi wa kuthibitisha kuwa jirani yako ndie chanzo cha mwanao kufeli utaanza kuhangaika hapa.
 
Mtu mweusi ni nyani anayefanana kwa mbaali na Binadamu
weusi waharibifu sana. kifupi wanaishi maisha ya leo hawana habari na kesho.

hata huko mambele ikitokea weusi wamepewa nyumba/apartments wakae umo na wenzao weupe wapewe apartments kama izoizo, halaf rudi baada ya miezi kadhaa uone hali ya uchafu na uharibifu uliofanywa na hawa wenzetu.

izi takataka wanazozalisha wenyewe watataka serikali ndo ije iziondoe, uko ndani ndo usiseme si ajabu kukuta koki zote hazifai tena zinavujisha mbaya, mtu kuchomeka ndala au soksi kwenye chemba za majisafi/majitaka sio ishu.
 
Hii kitu iko sana
 
waafrika wengi bado wanaendelea kuzaliana wakati hawajimudu kimaisha.

kisingizio kikubwa utaskia eti watoto wanatunzwa na mungu.

huu ni ujinga wa kiwango cha lami na ndomaana idadi ya watoto wa mitaani inaongezeka kila siku
 
Back
Top Bottom