komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Kama tumeshindwa tu kulinda rasilimali za bure alizotupatia MUNGU huo ugunduzi tutautoa wapi. North Korea walipewa vikwazo nchi ikawa kama imefungiwa kila kitu, lakini wametengeneza mpaka nuklia, silaha nk. Na tusiseme mwafrika tuseme sisi watu weusi.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.