Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #101
Lakini nahisi Waadzabe hawakutawaliwa na mabeberu.
Huenda Waafrika tungekuwa kwenye hali ile mpaka sasa.
Huenda Waafrika tungekuwa kwenye hali ile mpaka sasa.
Life sio Black or White na kuna so many happenstances.., huenda tungekuwa na maendeleo huenda tungechinjana huenda chochote kile kingetokea ila exploitation ya Africa imesababisha Africa kudumaa na miji kama Liverpool au Nchi kama Belgium kuendelea for that fact...
Ila kama dunia nzima na watu as species wote tukiungana na kuchukua mazuri toka pande zote kwa ajili ya kupambana na mazingira yetu kama binadamu.., basi binadamu kwa ujumla tutaendelea zaidi kuliko tulivyoendelea sasa hivi..., Case in Point mfano NATO ambaye ni USA pia kwa kuwashinikiza wenzake na kuwashauri kwamba waache kutumia Gas kutoka Russia hivyo kutumia gharama zaidi kwa alterntive ni upuuzi wa kujipiga mwenyewe risasi..., (Sasa hivi hata Ujerumani imeshuka sana katika industrilization na nchi kama China inauza magari yake sana Ulaya kuliko ulaya wenyewe) hadi wanakuja na story za tariff...
Mfano vita vya Dunia viliathiri sana Ulaya.., Kuchukuliwa kwa Creme de la Creme ya Waafrica kama watumwa viliathiri sana Africa... Ila kwa jicho la Globalist kama mimi yote hayo yameleta athari sana kwa dunia nzima katika upigaji wa hatua (Na upuuzi anaofanya sasa hivi Israel huenda ndio ukatengeneza magaidi wa keshokutwa)
Nachotaka kusema kinachofanyika leo ndio determinant ya kesho...