Hivi Waafrika hatuna akili?

Lakini nahisi Waadzabe hawakutawaliwa na mabeberu.

Huenda Waafrika tungekuwa kwenye hali ile mpaka sasa.
 
Hata kipindi cha utumwa na ukoloni badala ya Machifu wa kiafrika kuungana kwa umoja kupigana na wazungu.

Wengi wao walishirikiana na wazungu kuuza watu wao utumwani kwa kudanganywa na vizawadi na ahadi uchwara.

Watu weusi tumeanza kusalitiana, kubaguana, kuchukiana na kutoshirikiana tangu enzi na enzi.

Wazungu ni wajanja sana, wanapendana sana wao kwa wao na wana shirikiana kulinda maslahi yao kwanza.

Hata wakati wa ukoloni wazungu waliamua kuweka tofauti zao pembeni wakafanya Berlin conference kugawana ardhi ya bara la Afrika kwa amani.

Lakini cha kushangaza, sisi waafrika badala ya sisi pia kuungana kwa pamoja kusaidiana. Tulitengana na kusalitiana.

Tena waafrika wengine waliungana na wazungu kuwapiga waafrika wenzao.

Watu weusi tangu kale tumejawa na chuki, husda na usaliti. Ndio maana hatuna mchango wowote hapa duniani zaidi ya kuzidisha umaskini duniani.
 
"KWANINI WAAFRIKA HATUNA AKILI?"

Kwa anayetaka majibu baada ya utafiti wangu binafsi wa muda mrefu, karibu kwenye nyuzi hizi ambazo nilisuka kweli kweli 👇👇👇



 
Kwahiyo akili tunazo lakini?
 
Unasema wazungu hawapendi tuwe wagunduzi?
Sasa kama tuna akili ya kugundua wazungu wanahusikaje kwenye kupenda au kutokupenda?
Huo ndo upunguani anaouliza mleta mada. Kwanini waafrika tunategemea wazungu?
 
Kwa waafrika wanadai hatusapotian ni kwel hilo kabisa kwa sabab hata ukimsapot mtu badae anasahau fadhila zako ulzomtendea so bro kila mtu abak kivyake! Tuendelee kugundua pombe za asil tuu inatosha
 
Sometimes elimu inaweza ikaleta akili Kwa mtu ambae hakuwa na akili
 
Lakini nahisi Waadzabe hawakutawaliwa na mabeberu.

Huenda Waafrika tungekuwa kwenye hali ile mpaka sasa.
Africa we had everything ukiweka Egypt Africa basi hata Civilization tunaweza kusema ilikuwa ni moja ya sehemu ilipoanzia.., Tukiangalia vitu kama ufuaji vyuma, pottery n.k. hata huku vilikuwepo..., Tukiongelea utajili wa kisasa basi hata one of the wealthiest Men duniani alikuwa Mansa Kankan Mussa (alipita Egypt kwa siku moja na dhahabu za kutosha romour has it uchumi ukashuka kutokana na inflation baada ya kugawa dhahabu... kwahio Africa ni Bara na kulikuwa kuna tamaduni tofauti tofauti....

Ukiongelea miji kulikuwa na miji kama Timbuktu ambayo ilikuwa si haba....
 
Kweli nimeamini hatuna akili aliyekwabia maji ni chanzo cha umeme ni nani??

Chanzo cha umeme ni generator ambapo maji yanatumika kuzungusha turbines(pangaboi) za generator na kuzalisha umeme.

Sasa unaposema maji ndo chanzo cha umeme unathibitisha kweli waafrica hatuna akili.
 
Sokwe, tumbili, nyani n.k wanatofautiana kwenye kufikiria; hata sisi binadamu kutokana na mionekano yetu, pia tunatofautiana kwenye uwezo wa kufikiri.

Ukijiuliza swali, weupe au weusi unasababishwa na nini, na ina athari gani katika kufikiria, tunaweza tusifikie muafaka.

Kama binadamu wote tungekuwa sawa, kusingekuwepo na binadamu pori mpaka leo hii, ambao wanaishi kwa kuhama hama na kuwinda.​
 
Unasema wazungu hawapendi tuwe wagunduzi?
Sasa kama tuna akili ya kugundua wazungu wanahusikaje kwenye kupenda au kutokupenda?
Huo ndo upunguani anaouliza mleta mada. Kwanini waafrika tunategemea wazungu?
Watu wanapeleka lawama kwa wazungu mbona wachina wanatoboa angali wanawekewa vikwazo mno
Ukishindwa ww acha lawama waafrica ni wagunduzi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…