Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mifumo yetu ya elimu na yenyewe tumeiga ya kwao.Akili tunazo ila mifumo yetu ya elimu haiendani na dunia ya sasa. Wenzetu wanajifunza carriers watakazo tangu wakiwa wadogo ila huku mtu anajifunza mfano somo la jiographia kuanzia la kwanza hadi kidato cha nne na halitumii popote maishani.
Wachina ni hatari toka muda hakuna kipya wanachofanya sasa yote wanayo yafanya wameyazoea.Kwani wachina walibuni somo la engineering mbona leo wanajenga manuclear na miradi mingine?
Huku Tz viongozi wetu wapigaji naamini wakiwekeza zaidi kwenye elimu tutafanya maajabu.
Baada ya hapo ?Africa we had everything ukiweka Egypt Africa basi hata Civilization tunaweza kusema ilikuwa ni moja ya sehemu ilipoanzia.., Tukiangalia vitu kama ufuaji vyuma, pottery n.k. hata huku vilikuwepo..., Tukiongelea utajili wa kisasa basi hata one of the wealthiest Men duniani alikuwa Mansa Kankan Mussa (alipita Egypt kwa siku moja na dhahabu za kutosha romour has it uchumi ukashuka kutokana na inflation baada ya kugawa dhahabu... kwahio Africa ni Bara na kulikuwa kuna tamaduni tofauti tofauti....
Ukiongelea miji kulikuwa na miji kama Timbuktu ambayo ilikuwa si haba....
Sasa wewe muafrika unajifananisha na mchina ?Watu wanapeleka lawama kwa wazungu mbona wachina wanatoboa angali wanawekewa vikwazo mno
Ukishindwa ww acha lawama waafrica ni wagunduzi pia
Haswaa udadisi. Wazungu ni wadadisi kuliko sisi ndo maana wanafanikiwa kuvumbua vitu mbalimbali.Hapa nimekupata.
Udadisi, Udadisi, Udadisi⭐
Nyau wewe injinia wa tz ashawahi pewa kazi ya barabar kutia rami ikawa jua likipigwa lami inaumuka likipndoaka lAmI inarudi kwa hali yake.wa canna hell is that wit tz injiniaMimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Baada ya hapo nini tena ? Life sio Destination ni Journey and Empires Rise and Fall hiki ni kipindi cha Mpito huenda viongozi waroho wa madaraka wakibanwa na watu ambao watakuwa emancipated from mental slavery na kujiona kwamba wamelaaniwa na hawana akili basi tutamove on right direction.... Kutokana na marginalization ku move mmoja mmoja ni kazi sana (kwahio inabidi umimi upungue) as Clans can not Defeat Empires...Baada ya hapo ?
Binadamu naye Ni mnyama.Akili mnazo mnawashinda wanyama tu
Ila kuzitumia hamjui
Nyau mwenzangu sasa kwanini hawapewi hizo kazi?Nyau wewe injinia wa tz ashawahi pewa kazi ya barabar kutia rami ikawa jua likipigwa lami inaumuka likipndoaka lAmI inarudi kwa hali yake.wa canna hell is that wit tz injinia
Italy unaweza kuifananisha na nchi gani hapa Afrika ? ,Britain nayo, U.S.A nayoBaada ya hapo nini tena ? Life sio Destination ni Journey and Empires Rise and Fall hiki ni kipindi cha Mpito huenda viongozi waroho wa madaraka wakibanwa na watu ambao watakuwa emancipated from mental slavery na kujiona kwamba wamelaaniwa na hawana akili basi tutamove on right direction.... Kutokana na marginalization ku move mmoja mmoja ni kazi sana (kwahio inabidi umimi upungue) as Clans can not Defeat Empires...
By the way we Hata Roman Empire, Great Britain now USA all of them soon or later fall and if push comes to shove Africa as a Continent we are self sustainable.. And we have done it before by building empires and cities just take your History Book and refresh your mind...
Wakati Africa kuna Timbuktu, Zulu Empires Mwanamutapa huko Britain kulikuwa na nini n huko USA kulikuwa na wenyewe Red Indians.., China usicheze nayo katika sehemu zenye Historia iliyoshiba China ni mojawapo (wakati China wanaendeleza mambo ya kutumia mbolea kwenye mashamba yao (kinyesi) UK walikuwa wanajisaidia barabarani....Italy unaweza kuifananisha na nchi gani hapa Afrika ? ,Britain nayo, U.S.A nayo
Vipi kuhusu China
Ni kweli in a wayBinadamu naye Ni mnyama.
Nimekuuliza swali kuhusu China kwa umakini sana ulichoandika hapa kuhusu China jiulize kuhusu Afrika yako ipo wapi na China ipo wapi ? By the yote maeneo mawili yana share historia ya kukoloniwaWakati Africa kuna Timbuktu, Zulu Empires Mwanamutapa huko Britain kulikuwa na nini n huko USA kulikuwa na wenyewe Red Indians.., China usicheze nayo katika sehemu zenye Historia iliyoshiba China ni mojawapo (wakati China wanaendeleza mambo ya kutumia mbolea kwenye mashamba yao (kinyesi) UK walikuwa wanajisaidia barabarani....
Wakati Egypt na maeneo mengine kuna civilization wengine huko walikuwa wanaishi a barbaric way of life..., usichukulie Historia at one given point huwezi kuona full picture..., Tena ukitaka twende Historically naweza kukwambia this is Cradle of Humanity...
Na nchi ni nini ? Kwamba kabla ya Mkoloni kuja tulikuwa hatuna systems za kutupatia Food, Cloths and Shelter ?
Kweli kabisa.Kuna kua Mweusi alafu uzaliwe Ulaya , Marekan.
Na kuna kua Mweusi alafu uzaliwe hapahapa Afrika..nadhan hapa ndipo tatizo lilipo ,mazingira ya mtoto mweusi anayezaliwa Hapahapa Afrika, mpaka anakua mkubwa, hayamfanyi awe mgunduzi , na ikitokea amekua, Utapigwa vita sana.
Hata wazungu, wahamie Afrika, mazingira yabaki kua yaleyale ya Afrika, WATAKUA VILAZA KWELIKWELI.
Hii dunia ya leo unagundua nini kipya au unakatazwa ku implement nini kilichogunduliwa na mwenzako ? Na lazima ujue research and developments needs funding na kuwekeza kwenye vyuo as well as mentality which is inquisitive (and am sorry to say such minds ambazo zilipatikana katika age of Enlightenment hazipo tena sasa hivi watu ni kusema fulani alisema hivi na sio kujitahidi kwamba fulani alisema vile ngopa ni prove wrong kwamba alikosea... Na hii sio Africa tu bali dunia kwa UjumlaKuna kua Mweusi alafu uzaliwe Ulaya , Marekan.
Na kuna kua Mweusi alafu uzaliwe hapahapa Afrika..nadhan hapa ndipo tatizo lilipo ,mazingira ya mtoto mweusi anayezaliwa Hapahapa Afrika, mpaka anakua mkubwa, hayamfanyi awe mgunduzi , na ikitokea amekua, Utapigwa vita sana.
Hata wazungu, wahamie Afrika, mazingira yabaki kua yaleyale ya Afrika, WATAKUA VILAZA KWELIKWELI.
We ume shiriki mradi ganiNyau mwenzangu sasa kwanini hawapewi hizo kazi?
Pia viongozi wenu wanaendekeza njaa Magufuli alikuwa anamwaga hela kwenye miradi yake ndo maana mpaka leo miradi yake inadumu. Mfano barabara za mbezi si walijenga wachina lakini mpaka leo zipo fresh bila kusahau stand ya magufuli.
Angalia miradi ambayo Imeanzishwa na viongozi wapigaji mfano barabara za kariakoo tabu tupu.
Japokuwa China na mtu mweusi wote walitawaliwa ila wachina walikataa kutawaliwa kifikra ndo maana mpaka leo wanaheshimu dini zao ila mtu mweusi katawaliwa kifikra na wazungu wanatumia hiyo kitu kumdumaza mtu mweusi asivumbue vitu vyake. Ndo maana China imeendelea kuliko Afrika.Nimekuuliza swali kuhusu China kwa umakini sana ulichoandika hapa kuhusu China jiulize kuhusu Afrika yako ipo wapi na China ipo wapi ? By the yote maeneo mawili yana share historia ya kukoloniwa
Aisee kweli rudia kusoma Historia ya China hata kabla ya Ukoloni..., China ilikuwa imepiga hatua kubwa as a Civilisation hata kabla ya hao waliokuja na kuwachanganya wengine kwa lazima kulazimisha biashara ya Opium... kwa ufupi tu ngoja nikuonyeshe inventions za China ambazo western walizichukua credit.... (Watu China mnaiangalia kwa wasiwasi sana);Nimekuuliza swali kuhusu China kwa umakini sana ulichoandika hapa kuhusu China jiulize kuhusu Afrika yako ipo wapi na China ipo wapi ? By the yote maeneo mawili yana share historia ya kukoloniwa
Ujinga na kukosa akili ni nini ? Ni kuendelea kumlaumu mzungu kwa kila upumbavu wa muafrika.Japokuwa China na mtu mweusi wote walitawaliwa ila wachina walikataa kutawaliwa kifikra ndo maana mpaka leo wanaheshimu dini zao ila mtu mweusi katawaliwa kifikra na wazungu wanatumia hiyo kitu kumdumaza mtu mweusi asivumbue vitu vyake. Ndo maana China imeendelea kuliko Afrika.