Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Sio kwamba tuna low IQ. Mitazamo ndo changamoto mfano huku TZ mtu akiwa katika sekta fulani mfano TRA anawaza kujitajirisha tu ila wachina wanajituma na sio kama China hakuna wapigaji ila mifumo yao haibembelezi wapigaji unaweza pewa hukumu ya kifo.Viongozi wanatoka kwenye jamii.
Ukiona jamii inaviongozi walionyooka basi tambua kuwa hivyo ndivyo ilivyo jamii hiyo kwa kiasi kikubwa ukiona jamii ina viongozi wapuuzi wapuuzi na hivyo ndivyo ilivyo jamii nzima kwa kiasi kikubwa.
Afrika wamejaa watu wajinga wajinga wenye low IQ uthibitisho hata humu na mada zilizojaa humu za kipuuzi puuzi tu.