Hivi Waandishi wa Habari wakiwa wanasema fulani kazikwa na maelfu na mwingine wanasema kazikwa na mamia huwa wanamaanisha nini?

Hivi Waandishi wa Habari wakiwa wanasema fulani kazikwa na maelfu na mwingine wanasema kazikwa na mamia huwa wanamaanisha nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu.

Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida (chini kama akina siye GENTAMYCINE) ili hata SIku tukiondoka au mkiondoka Nyomi la kwenda Kutuzika / Kuwazika liwe ni Kubwa na siyo hili la Watu Mamia ambalo linaonyesha kuwa hukuwa sana Mtu wa Watu au hujihusianishi na Watu katika Jamii yako.
 
Mengine ni ushereheshaji tu misiba,kwamba,marehemu alizaliwa,akaishi,akafariki,akazikwa,ukiona maelfu ujue watu walikuwa wengi labda hata mia😂ukonamamia ujue sio wengi kama wale maelf😂 ni lugha tu zakiuandishi,kumpamba marehemu
 
Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida ( chini kama akina siye GENTAMYCINE ) ili hata SIku tukiondoka au mkiondoka Nyomi la kwenda Kutuzika / Kuwazika liwe ni Kubwa na siyo hili la Watu Mamia ambalo linaonyesha kuwa hukuwa sana Mtu wa Watu au hujihusianishi na Watu katika Jamii yako.
Hata uzikwe na watu laki tano ni wiki moja tu tunakusahau.
 
Kuzikwa na watu wengi au watu wachache hakumsaidii lolote Marehemu bali kitakachomsaidia ni matendo yake mema aliyo yaishi wakati wa uhai wake,

Kama mtu hakua na matendo mema basi kitendo cha kuzikwa na watu wengi ni sawa na kusindikizwa Stendi na watu wengi wakati anasafri lakini huko aendako hana mwenyeji wakumpokea,

Tusitafute umaarufu au kuzikwa na watu wengi bali tuishi kwa matendo mema na kumuabudu Mungu.
 
Kuzikwa na watu wengi au watu wachache hakumsaidii lolote Marehemu bali kitakachomsaidia ni matendo yake mema aliyo yaishi wakati wa uhai wake,kama mtu hakua na matendo mema,kitendo cha kuzikwa na watu wengi ni sawa na kusindikizwa Stendi na watu wengi wakati anasafri lakini huko aendako hana wakumpokea,

Tusitafute umaarufu au kuzikwa na watu wengi bali tuishi kwa matendo mema na kumuabudu Mungu.
Mkuu mbona kama vile Unajihami Kmtindo? au umeshajijua kuwa Wewe wala Hutozikwa na Maelfu wala Mamia bali utazikwa tu na Makumi?
 
Mkuu mbona kama vile Unajihami Kmtindo? au umeshajijua kuwa Wewe wala Hutozikwa na Maelfu wala Mamia bali utazikwa tu na Makumi?
Sio kila anayekufa huzikwa,vifo havifanani,
Kuna watu wanakufa kwa kupotelea Baharini au Porini na wasionekane tena,
So,unaweza kuhangaika na Dunia ili eti uje uzikwe na wengi lakini kifo chako kikawa cha kupotelea Baharini na usionekane tena,

Kifo ni fumbo.
 
Nimeona viti vikiwa empty.

Walau nyumba imefishwa.

Acheni sifa za huku mjini
Uchagani waombolezaji huanza kwenda eneo la tukio kuanzia saa 5 asubuhi na saa 7 ya mchana misa inapoanza huenda kwA wingi zaidi. Tamaduni yao ni kama ya mzungu kwa mbali. Wakimaliza kuzika huondoka.

Je viti vilikua Tupu mida ya saa ngapi??

Hapo kwenye kuficha nyumba naungana nawe, Nikajiuliza kulikua na sababu gani za kukaa uwanja wa shule ya msingi na nyumbani kupo??
 
Kujimwambafai tu ni kama wafuasi wa chadema na chawa wa Mama wanapoelezea uongo wao wanajaza maelfu ,mamia walibubujikwa machozi kwa hotuba ya mwanasiasa wao
 
Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida ( chini kama akina siye GENTAMYCINE ) ili hata SIku tukiondoka au mkiondoka Nyomi la kwenda Kutuzika / Kuwazika liwe ni Kubwa na siyo hili la Watu Mamia ambalo linaonyesha kuwa hukuwa sana Mtu wa Watu au hujihusianishi na Watu katika Jamii yako.
1000/100
 
Back
Top Bottom