GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hata uzikwe na watu laki tano ni wiki moja tu tunakusahau.Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida ( chini kama akina siye GENTAMYCINE ) ili hata SIku tukiondoka au mkiondoka Nyomi la kwenda Kutuzika / Kuwazika liwe ni Kubwa na siyo hili la Watu Mamia ambalo linaonyesha kuwa hukuwa sana Mtu wa Watu au hujihusianishi na Watu katika Jamii yako.
Mbona Jembe letu JPM tokea azikwe 2021 hadi leo hatumsahau tena Mimi GENTAMYCINE naona Yeye bado ndiyo Rais?Hata uzikwe na watu laki tano ni wiki moja tu tunakusahau.
Mkuu mbona kama vile Unajihami Kmtindo? au umeshajijua kuwa Wewe wala Hutozikwa na Maelfu wala Mamia bali utazikwa tu na Makumi?Kuzikwa na watu wengi au watu wachache hakumsaidii lolote Marehemu bali kitakachomsaidia ni matendo yake mema aliyo yaishi wakati wa uhai wake,kama mtu hakua na matendo mema,kitendo cha kuzikwa na watu wengi ni sawa na kusindikizwa Stendi na watu wengi wakati anasafri lakini huko aendako hana wakumpokea,
Tusitafute umaarufu au kuzikwa na watu wengi bali tuishi kwa matendo mema na kumuabudu Mungu.
Vipi Ruge bado ni Mtangazi wako pia? Maana alizikwa na watu wengi kuliko jpmMbona Jembe letu JPM tokea azikwe 2021 hadi leo hatumsahau tena Mimi GENTAMYCINE naona Yeye bado ndiyo Rais?
Sio kila anayekufa huzikwa,vifo havifanani,Mkuu mbona kama vile Unajihami Kmtindo? au umeshajijua kuwa Wewe wala Hutozikwa na Maelfu wala Mamia bali utazikwa tu na Makumi?
Uchagani waombolezaji huanza kwenda eneo la tukio kuanzia saa 5 asubuhi na saa 7 ya mchana misa inapoanza huenda kwA wingi zaidi. Tamaduni yao ni kama ya mzungu kwa mbali. Wakimaliza kuzika huondoka.Nimeona viti vikiwa empty.
Walau nyumba imefishwa.
Acheni sifa za huku mjini
1000/100Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida ( chini kama akina siye GENTAMYCINE ) ili hata SIku tukiondoka au mkiondoka Nyomi la kwenda Kutuzika / Kuwazika liwe ni Kubwa na siyo hili la Watu Mamia ambalo linaonyesha kuwa hukuwa sana Mtu wa Watu au hujihusianishi na Watu katika Jamii yako.