Hivi waarabu na wazungu huwa wana vinasaba vya ushoga? Wamepaharibu Zanzibar na Dar

Swali hili ni tata na linahusisha masuala ya kijamii, kiutamaduni, kisiasa na kisheria. Kwa kuwa kila jamii ina tamaduni zake na maadili yake, hakuna jawabu moja la kuzuia kuenea kwa tamaduni ya ushoga katika bara la Afrika.

Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake kulingana na utambulisho wake wa kijinsia na mapenzi yake bila kubaguliwa au kudhulumiwa. Haki hizi ni pamoja na haki za binadamu zilizotambuliwa kimataifa.

Kwa hiyo, badala ya kuzingatia kuzuia kuenea kwa tamaduni ya ushoga, ni muhimu kuelimisha jamii kuhusu haki za binadamu na kuheshimu tofauti za kijinsia na mapenzi. Elimu hii inaweza kufanywa katika ngazi ya familia, shule, na jamii kwa ujumla.

Pia ni muhimu kuhakikisha kuwa sheria na sera zinazingatia haki za wapenzi wa jinsia moja na kuzuia ubaguzi. Hii itahitaji ushiriki wa serikali, mashirika ya kiraia na jamii kwa ujumla.

Hatimaye, ni muhimu kuzingatia kuwa tamaduni zinabadilika na kubadilika kulingana na mabadiliko ya kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kwa hiyo, badala ya kujaribu kuzuia mabadiliko haya, ni muhimu kushughulikia changamoto zinazojitokeza na kuzingatia haki za binadamu za wote, bila ubaguzi.
 
Wazungu hawana dogo

Will Smith Smith alijifanya kupinga ushoga hadharani, mamende yakaenda kumsajili kijana wake, matokeo yake tukastuka ame left kwny group la mabarobaro

usije ukashangaa Mtoto wa Museven akageuzwa Nyari nyari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa km mwehuuuu, Lol
 
Sana tu. Wanachomana kaka na dada kiasi cha kuzaa mataahira wengi na watu wenye elements za ushoga. Mfano, wazungu ndiyo maana wanautetea ushoga. Hata wahindi wanao mchezo huu japo wanauficha. Wazungu waliitwa wazungu na mababu zetu tokana ukigeugeu au mizungu. Hawa ni mashoga wa kawaida vinginevyo wangeona hata aibu kutetea uchafu huu ambao hata nguruwe hawezi kuutenda
 
Hakuna sehemu hakuna mashoga, useme wale wa mikoani au vijijini huwaa hawajiweki wazi km wa mjini.
 
Comment bora kabisaa kuwahi kuandikwa hapa JF, uko sahihi sana.
 
Huko kwao walikotokea ndio balaa! wanatifuana kinyesi kama hawana akili nzuri.
Nalog off
 
SIDHANI KAMA KWELI WAZUNGU NI MASHOGA.

AU WANATUPIGA KIINI MACHO KUTUAMINISHA WAO NI MASHOGA, KUMBE WANATUDANGANYA ILI WAJINGA NA WAPUMBAVU WAIGE USHENi.

Nitakuwa WA MWISHO KUAMINI kama kweli WAZUNGU ni MASHOGA.
Hata Mimi nawazaga hivyo,..itakuwa wanaigiza ushoga ila wengine mnafanya kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…