Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sijawahi kuelewa kwanini Wabongo wengi wanaichukulia Afrika Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60.
Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu.
Ushamba mtupu.
Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu.
Ushamba mtupu.