Ni mazoea tu kama ambavyo zamani kila pikipiki tulikuwa tunaita Honda au kuna mji daladala wanaita vi FordSijawahi kuelewa kwa nini Wabongo wengi wanaichukulia Africa Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60.
Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu.
Ushamba mtupu.
hiyo south si ndiyo inaitwa ZULULAND?Sijawahi kuelewa kwa nini Wabongo wengi wanaichukulia Africa Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60.
Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu.
Ushamba mtupu.
Mazoea mengine ni kutokana na ushamba au kutokufahamu, ni sawa na mtu atuite Watanzania wote Wamasai au Wasukuma kwa sababu ndio kabila analolifahamu tu.Ni mazoea tu kama ambavyo zamani kila pikipiki tulikuwa tunaita Honda au kuna mji daladala wanaita vi Ford
Ndipo wanapotokea Wazulu wenyewe.Na huko KWA ZULU NATALI ndio wapi?