Hivi Wabunge kushangilia timu ya Soka ya nje ni sawa, tena ndani ya Bunge

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha

Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.

Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo rassmi ndanibya Binge.

Huu ni utani wa aina gani huu, mnona kama umepitiliza.

Nafikri utani no kitu Cha kawaaid lakini Aina hii ya utani ...umepitiliza.

Kwangu Mimi ni kielelezo Cha kukosa Uzalendo.

Yukiendelea hivi siku moja tutamkuta Rais yupo Taifa anashangilia Gor Mahia ikicheza na Yanga.

Hio sio kitu kingine ni ujuha!
 
Uzalendo mavi? Bongo uzalendo?

Kajitahidi magufuli akaishia kunyewa
 
Punguza pressure ili uandike vizuri unakimbilia wap unaonekana umepanic ndio hivyo mmetoka nusu final uingize kina mugalu angalia timu zilizofika nusu fainal kama kuna watoto
 
Usitupangie...

Wabunge hawakuishangilia timu ya nje iliyokuwa inacheza dhidi ya Taifa Stars bali timu iliyokuwa inacheza na timu ambayo katika kipindi cha miaka 3 iliyopita, imekung'utwa mabao 17 kwenye mechi 4 tofauti za ugenini na hivyo kulitia aibu taifa.
 
Wawa anashangilia simba na mimi nashangilia kaizer
 
Bunge lililowekwa na matakwa ya mtu na si bunge lililopo kwa ridhaa ya wananchi wanachozungumza ni batili na watakopitisha ni batili, na chochote wanachofanya ni batili
 
Mzalendo nchi Hii alikuwa ni mmoja tu...alikuwa ni JPM
 
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha

Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.

Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo rassmi ndanibya Binge.

Huu ni utani wa aina gani huu, mnona kama umepitiliza.

Nafikri utani no kitu Cha kawaaid lakini Aina hii ya utani ...umepitiliza.

Kwangu Mimi ni kielelezo Cha kukosa Uzalendo.

Yukiendelea hivi siku moja tutamkuta Rais yupo Taifa anashangilia Gor Mahia ikicheza na Yanga.

Hio sio kitu kingine ni ujuha!
Kama inakuuma na wewe shabikia APR
 
Punguza pressure ili uandike vizuri unakimbilia wap unaonekana umepanic ndio hivyo mmetoka nusu final uingize kina mugalu angalia timu zilizofika nusu fainal kama kuna watoto
Naona paragraph yako haina mkato wala kituo!
 
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha

Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.

Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo rassmi ndanibya Binge.

Huu ni utani wa aina gani huu, mnona kama umepitiliza.

Nafikri utani no kitu Cha kawaaid lakini Aina hii ya utani ...umepitiliza.

Kwangu Mimi ni kielelezo Cha kukosa Uzalendo.

Yukiendelea hivi siku moja tutamkuta Rais yupo Taifa anashangilia Gor Mahia ikicheza na Yanga.

Hio sio kitu kingine ni ujuha!

Wabunge majuha yanachanganya mambo ya muhimu ya bunge na mambo yao ya kijinga ya Simba na Yanga ndani ya bunge!!! Stupid kabisa haya majitu!! Fanyeni upuuzi wenu mnapokula matumbo ya Ng'ombe huko mnadani sio kwenye nyumba ya heshima.
 
Back
Top Bottom