Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Demokrasia ina ruhusu mtu kufanya chochote ambacho hakivunji haki za wengine na hakivunji sheria za nchi.Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha
Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.
Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo rassmi ndanibya Binge.
Huu ni utani wa aina gani huu, mnona kama umepitiliza.
Nafikri utani no kitu Cha kawaaid lakini Aina hii ya utani ...umepitiliza.
Kwangu Mimi ni kielelezo Cha kukosa Uzalendo.
Yukiendelea hivi siku moja tutamkuta Rais yupo Taifa anashangilia Gor Mahia ikicheza na Yanga.
Hio sio kitu kingine ni ujuha!
Sasa mimi kushabikia Kaiza Chiefs wewe kunakuuma nini ?