Aiseee...are you ok!Uzalendo mavi? Bongo uzalendo?
Kajitahidi magufuli akaishia kunyewa
Bunge ni sehemu tukufu eti!Hauwezi mpangia mtu timu ya kushangilia
Bunge linaundwa na "mbuzi wenye ngozi za kondoo". Halina utakatifu kwa kipindi hikiš¤£Bu
Bunge ni sehemu tukufu eti!
Kama inakuuma na wewe shabikia APRJumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha
Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.
Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo rassmi ndanibya Binge.
Huu ni utani wa aina gani huu, mnona kama umepitiliza.
Nafikri utani no kitu Cha kawaaid lakini Aina hii ya utani ...umepitiliza.
Kwangu Mimi ni kielelezo Cha kukosa Uzalendo.
Yukiendelea hivi siku moja tutamkuta Rais yupo Taifa anashangilia Gor Mahia ikicheza na Yanga.
Hio sio kitu kingine ni ujuha!
Yeye mwenyewe anajua kama alikuwa tapeli na mwizi tu. Angekuwa hai alitakiwa kuwa The Hague kwa mauajiMzalendo nchi Hii alikuwa ni mmoja tu...alikuwa ni JPM
Naona paragraph yako haina mkato wala kituo!Punguza pressure ili uandike vizuri unakimbilia wap unaonekana umepanic ndio hivyo mmetoka nusu final uingize kina mugalu angalia timu zilizofika nusu fainal kama kuna watoto
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha