Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
sijakuelewa mkuu kabisaUchawi wa kuandika juu ya uchawi na uchawi wa kutenda ni vitu tofauti.
waje kweli nawahitaji nataka kujua hawawezi kweli kuwaloga mods mana tushachoka daily watu wanalalamika kuhusu waowanga mje mnaitwa huku
vyoteUnazungumzia uchawi ua kuwanga??
dili lipi?nipe hilo dili mkuu
Aje humu atuambieMshana amerudi,labda leo jibu litapatkana
Invincible bila shaka. Huwa anagawa ban kama peremende [emoji23][emoji23][emoji23]Unataka arogwe mod gani??
JamiiforumsUnataka arogwe mod gani??