Hivi wachawi wa JamiiForums hawawezi kuwaloga mods?

Hivi wachawi wa JamiiForums hawawezi kuwaloga mods?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Nauliza tu wanajamvi hivi wachawi wa JF kama vile mshana jr,rakims,mzizi mkavu na mtu mzito wanashindwa kuwaloga mods ili wasipewe ban?

Pia ni kweli hawawezi kupiga ramli kugundua id's za member mbalimbali wa humu mfano labda wameanzisha thread af mtu katumia id mpya ili amponde bila kujulikana kwa kutumia id yake iliyozoeleka?
 
Uchawi hauwezi electronic system
 
Back
Top Bottom