Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

Hela kitu gani zinatafutwa,mwenye mapenzi tele ndio mpango mzima
Hio kweli inapatikanaje bila pesa.
Mapenzi ni kujali hisia wanawake wanaamgalia muonekano wa nje na vitendo ili uonekane vizuri nje ni lazima uwe na pesa,vitendo utaka pesa.
Nanuka jasho vumbi nimekula mguu toka mbagala plus jasho kunuka nimekuja sinza kukufata hata mia ya soda Sina domo linanuka upendo utakuwepo hapo.
 
Watakuambia mapenzi siyo hela, hela zinatafutwa ila wakimpata mwenye mapenzi ya dhati wataanza kumtafuta mwenye hela wakisha mpata mwenye hela wanamtafuta mwenye dushelele kubwa, wakimpata mwenye dushelele kubwa watasema linaumiza na wakimpata mwenye ndogo watamuita kibamia.

Tuishi nao kwa akili, tuhakikishe tunawazalisha mfululizo mpaka wazeeke wachoke kabisa na wazidiwe na majukumu ya kulea
 
Sote tumekua tukisikia mapenzi siyo pesa, ila nikwambie tu mapenzi bila pesa ni ujinga kwa maana haiwezekani kwa dunua ya sasa wanawake wameharibika mitazamo hata wake malaika wachache watakwambia pesa inanogesha penzi ila kimsingi masna yao ni ile ile Vibunda ndo vinamatter.
 
Back
Top Bottom