Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

Wanawake wenye mapenzi ya kweli wapo wengi (Nikiwa mmoja wao) tatizo lilianzia kwa wanaume usaliti na uchepukaji, unavulimia mtu mwisho akipata anawapanga foleni wengine zaidi ya kumi

Maumivu ya kusalitiwa +muda mwanamke aliopoteza bila kusahau machungu ya kuvumilia mbivu ambazo mwisho zikaoza ndio vimefanya wanawake wengi leo hii hawajali kuhusu mapenz ya kweli zaidi ya pesa tena sio kujali tu hawataki hata kumnusu mwanaume asie na pesa bora kulia kwenye range rover kuliko kwenye baiskeli ndio Kauli mbiu maana wanaume wote tumeshawaweka kwenye group moja Haijalishi anacho au hana
 
Hongera sana dada mwaju.
 
Jibu la hili swali litategemea na uchumi wa mwanamke.
~Kama she's stable financially atataka mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.

~kama she's not stable financially she'll seek for guys with financially stability
 
Ole mwanamke ajue kweli hauna hela , hata vumbi lake hautaliona.Mwanamke pahala pakiwa na pesa huwa anavumilia vyote hata ukitembra na ndugu yake haendi mahali.
 
Mapenzi bila pesa life span yake ni mkibalehe mpaka miaka 16.Baada ya hapo yana expire.Bila pesa ni sawa na kuishi kwa mazoea na ku hope kwamba asije mwenye pochi akatamani ulichonacho.Dau likifikiwa huna chako.Tafuta pesa kijana sio pesa ukimfungia njiwa anaruka.Pesa haswa.
 
Back
Top Bottom