Stend ya Mbagala...utanikuta pale pembeni wanauza bagiaππππ stendi ipi, samaki hazipo kwa wingi kwa sasa.
Sawa nitafanya hvyo nikifika tutakula bagia utakazo πStend ya Mbagala...utanikuta pale pembeni wanauza bagiaπππ
Kwq hiyo Hela ya bagia unayo?kumbe unanitapeli weweπππSawa nitafanya hvyo nikifika tutakula bagia utakazo π
Bagia si bei rahisi hata ukila 20 nalipa πKwq hiyo Hela ya bagia unayo?kumbe unanitapeli weweπππ
Siwezi kuamini haya maneno yanatoka kwako[emoji24][emoji24][emoji24]Hela kitu gani zinatafutwa,mwenye mapenzi tele ndio mpango mzima
Nile bagia za 4000π€£π€£π€£π€£basi hiyo itunze,ukifika nitatop 6000...Bagia si bei rahisi hata ukila 20 nalipa π
Nauli ndio utalipia nkifika stendi
Hongera sana dada mwaju.Wanawake wenye mapenzi ya kweli wapo wengi (Nikiwa mmoja wao) tatizo lilianzia kwa wanaume usaliti na uchepukaji, unavulimia mtu mwisho akipata anawapanga foleni wengine zaidi ya kumi
Maumivu ya kusalitiwa +muda mwanamke aliopoteza bila kusahau machungu ya kuvumilia mbivu ambazo mwisho zikaoza ndio vimefanya wanawake wengi leo hii hawajali kuhusu mapenz ya kweli zaidi ya pesa tena sio kujali tu hawataki hata kumnusu mwanaume asie na pesa bora kulia kwenye range rover kuliko kwenye baiskeli ndio Kauli mbiu maana wanaume wote tumeshawaweka kwenye group moja Haijalishi anacho au hana
πpesa itahusika hapaNdio mtutunze Sasa!
ππππmoney is everywhereπpesa itahusika hapa
ππππππππmoney is everywhere
Ndio mtutunze Sasa!