Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 781
- 333
Habari wakuu,
Wadau wajukwaa lipendwalo na wengi naomba tusaidiane hapa maana sijui ni mkosi au nimefungwa na my wife. Hivi wadada siku hizi wameshaolewa wote,maana kila ninayegusa ananiambia ana wake. Nimewatokea zaidi ya wa3 wote wanasema wana watu wao,sasa najiuliza ukilinganisha idadi ya wanawake na wanaume,wanawake ndo wengi zaidi,najiuliza sijui ni mbinu ya kukwepa au nimefanyiwa manyanga.
Ebu tupeane uzoefu hapa au ni mim pekee yangu nazinguliwa.?