Trouton
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,203
- 1,381
basi inabidi ubadili mbinu, inawezekana labda ulivyo wanajua lazma utakua na mke, badili muonekano kidogo na mazungumzo yako.Dini hairuhusu kbs hapa najiongeza tu mwenyew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi inabidi ubadili mbinu, inawezekana labda ulivyo wanajua lazma utakua na mke, badili muonekano kidogo na mazungumzo yako.Dini hairuhusu kbs hapa najiongeza tu mwenyew
Ok mkuuIn a study around 2002, the natural sex ratio at birth was estimated to be close to 1.06 males/female.
Hipo hivi wanaume ndo wanao zaliwa wengi kuliko wanawake kwa ratio ya 105 males kwa 100 females. Ila wanaume wapo katika high risk ya kuugua na kufa. Hii inamanisha wanaume wengi hufa wakiwa bado watoto hadi kupelekea idadi ndogo ya wanaume. Ndo mana wanaume ni wachache kiliko wanaume. Reference WHO population reportkweli vijana Mmekuwa wavivu saana, Jambo dogo kama hili Mnalibishania? Nenda Wikipedia.com
Mungu anakuepusha kitu mkuu,Agano la ndoa sio jambo dogo kiroho.Mkuuu wife yuko mbali sana kukutana kila baada ya 2 month,sasa kwa mwanaume ni ngumu sana kukaa hivihivi
Ndiyo iko hivyo, labda criterion ya kutumia hapa ni kwamba kuna Nchi zina Jinsia Moja yenye watu wengi kuliko ingineOk mkuu
Ngoja niendelee kuutafuta ukweli nje ya hapa!
Lakini ukienda hata hospitali na mashuleni au vyuoni utaona population kubwa ni Ke labda wanakufa sana!
Nampango wakupanga cku tukutane nione.
Fanya.ivi tenaa na tenaaa, afu rudia tenaa ukikataliwa endelea kurudia [emoji14]Siku hz wanawake hawatongozwi mkuu. Katka hao watatu uliowatongoza wakakataa mjarb mmoja kwenda lunchi au dinner. Mkae huko mle na mnywe halaf uje unipe jibu kimetokea nini
Hata kutongoza unataka kufundishwa, we hujaanza mahusiano unamuuliza kama hana mtu unazani atakwambia hana!!! Lazima aseme anae ili akutie wazimu uongeze nguvu ya kumweka karibu na wewe.Habari wakuu
Wadau wajukwa lipendwalo na wengi naomba tusaidiane hapa maana cjui ni mkosi au nimefungwa na my wife.Niende moja kwa moja kwenye heading,hiv wadada sikuhiz wameshaolewa wote,maana kila ninayegusa ananiambia ana wake nimewatokea zaidi ya wa3 wote wanasema wana watu wao,sasa najiuliza ukilinganisha idadi ya wanawake na wanaume,wanawake ndo wengi zaidi,najiuliza sijui ni mbinu ya kukwepa au nimefanyiwa manyanga,ebu tupeane uzoefu hapa au ni mim pekee yangu nazinguliwa.?
In short, hauna mvuto, shapeless, mwonekano wako siyo mzuri, approach yako ni mbovu sana, ndo maana wanakutolea njeHabari wakuu
Wadau wajukwa lipendwalo na wengi naomba tusaidiane hapa maana cjui ni mkosi au nimefungwa na my wife.Niende moja kwa moja kwenye heading,hiv wadada sikuhiz wameshaolewa wote,maana kila ninayegusa ananiambia ana wake nimewatokea zaidi ya wa3 wote wanasema wana watu wao,sasa najiuliza ukilinganisha idadi ya wanawake na wanaume,wanawake ndo wengi zaidi,najiuliza sijui ni mbinu ya kukwepa au nimefanyiwa manyanga,ebu tupeane uzoefu hapa au ni mim pekee yangu nazinguliwa.?
Uuwwiiii!!!!!![emoji86] [emoji86]In short, hauna mvuto, shapeless, mwonekano wako siyo mzuri, approach yako ni mbovu sana, ndo maana wanakutolea nje
Habari wakuu
Wadau wajukwa lipendwalo na wengi naomba tusaidiane hapa maana cjui ni mkosi au nimefungwa na my wife.Niende moja kwa moja kwenye heading,hiv wadada sikuhiz wameshaolewa wote,maana kila ninayegusa ananiambia ana wake nimewatokea zaidi ya wa3 wote wanasema wana watu wao,sasa najiuliza ukilinganisha idadi ya wanawake na wanaume,wanawake ndo wengi zaidi,najiuliza sijui ni mbinu ya kukwepa au nimefanyiwa manyanga,ebu tupeane uzoefu hapa au ni mim pekee yangu nazinguliwa.?
Wanawake ni wengi sana, na pia hukupaswa kuanza kulalamika kwa kuwatokea wadada wa3 pekee, ulipaswa kuwatokea km 20 hv au 60 ndio uj kulalamika. Siku zote usikubali kupata matokeo yaliyo chini ya 70% hivyo ni lazima upitie idadi kubwa ya wadada ili kujihakikishia hilo, zaidi ya hapo wewe ni dhaifuHabari wakuu